Skip to main content

Posts

Showing posts from November, 2013

Fasihi simulizi ya Kiafrika

FASIHI SIMULIZI YA KIAFRIKA  Fasihi Simulizi ni nini?  Wataalamu mbalimbali wametoa maoni yao kuhusu maana ya FS. Miongoni mwao ni Finnegan (1970), Matteru 1979), Balisidya (1983), Okpewho (1992) na wengineowengi.  Ili kuweza kubaini maana ya FS ni vema kudurusu fasili zilizotolewa na wataalamu hawa. Lengo hasa ni kutaka kufahamu ubora na udhaifu wa fasili zao, hatimaye tuweze kuunda fasili muafaka zaidi kuhusu maana ya FS. *. F.S yaweza kuelezwa kwamba, hutegemea msaniiambaye huiumba kwa maneno katika tukio maalum (Finnegan, 1970) *. Ni fasihi inayotegemea mdomo ktk kutolewa na kuenezwa kwake… (M.L.Matteru, 1979) *. Ni aina ya fasihi ambayo hutumia mdomo katika kuumbwa, kuwasilishwa na kusambazwa kwa waasikilizaji na watumiaji waake (Balisidya, 1983) *. F.S humaanisha fasihi itolewayo kwa neno la mdomo… (Okpewho, 1992) *. F.S ni kazi ya sanaa inayotumia lugha kazi hii ya sanaa huhifadhiwa kwa kichwa na kusambazwa kwa njia ya masimulizi ya mdomo… (M.Msokile, 1992) *. Ni fasihi inayotun

Fasihi simulizi

FASIHI SIMULIZI YA KIAFRIKA Fasihi Simulizi ni nini? Wataalamu mbalimbali wametoa maoni yao kuhusu maana ya FS. Miongoni mwao ni Finnegan (1970), Matteru 1979), Balisidya (1983), Okpewho (1992) na wengineowengi. Ili kuweza kubaini maana ya FS ni vema kudurusu fasili zilizotolewa na wataalamu hawa. Lengo hasa ni kutaka kufahamu ubora na udhaifu wa fasili zao, hatimaye tuweze kuunda fasili muafaka zaidi kuhusu maana ya FS. *. F.S yaweza kuelezwa kwamba, hutegemea msaniiambaye huiumba kwa maneno katika tukio maalum (Finnegan, 1970) *. Ni fasihi inayotegemea mdomo ktk kutolewa na kuenezwa kwake… (M.L.Matteru, 1979) *. Ni aina ya fasihi ambayo hutumia mdomo katika kuumbwa, kuwasilishwa na kusambazwa kwa waasikilizaji na watumiaji waake (Balisidya, 1983) *. F.S humaanisha fasihi itolewayo kwa neno la mdomo… (Okpewho, 1992) *. F.S ni kazi ya sanaa inayotumia lugha kazi hii ya sanaa huhifadhiwa kwa kichwa na kusambazwa kwa njia ya masimulizi ya mdomo… (M.Msokile, 1992) *. Ni fasihi inayotungwa