Skip to main content

Posts

Showing posts from June, 2016

Idadi ya vifo yaongezeka kutokana na shambulizi la mabomu Uturuki

Mtu aliyejeruhiwa akiwa katika gari la kubeba wagonjwa katika uwanja wa ndege wa Ataturk Mwandishi wa VOA Dorian Jones huko Instanbul amesema mlipuaji mmoja wa mabomu alijilipua nje ya eneo la kupokea wageni wa kimataifa kwenye uwanja huo wa ndege eneo hilo kwa kawaida hujaa watu wakingoja usafiri. Waziri mkuu wa Uturuki Binali Yildrim ametoa wito wa umoja wa kitaifa mapema Jumatano asubuhi ikiwa nchi yake inakumbana na ongezeko la vifo kutokana na shambulizi la kujitoa muhanga liliouwa watu 39 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Atartuk -Instanbul huko Uturuki. Yildrim akiwa na mawaziri wake amesema idadi hiyo ya waliofariki ni pamoja na walipua mabomu wa kujitoa muhanga watatu ambao waliwasili na gari aina ya Taxi Jumanne usiku katika uwanja wa ndege ulio na shughuli nyingi na kufyatua risasi kwa kutumia bunduki rashasha na kupiga risasi watu tofauti waliokuwa uwanjani hapo kabla ya kulipua mabomu wakati polisi wakikaribia. Alisema wegi waliuwawa “wengine wako k

Hifadhi ya gesi ya Helium yagunduliwa Tz

                              Share To:                                       Hifadhi kubwa zaidi ya gesi ya Helium yagunduliwa Tanzania Tanzania ni miongoni mwa mataifa machache duniani yaliyojaliwa kuwa na rasilimali na madini mengi. Na baada ya kugunduliwa kwa gesi asili huko Mtwara na dhahabu sasa watafiti kutoka Uingereza wamegundua hifadhi kubwa zaidi duniani ya gesi adimu zaidi ya Helium nchini Tanzania. Watafiti kutoka chuo kikuu cha Oxford na kile cha Durham kwa ushirikiano na wataalumu wa madini kutoka Norway wamegundua uwepo wa takriban futi bilioni 54 za gesi hiyo ya barafu kama inavyofahamika. Ugunduzi huo umefanyika katika eneo la bonde la ufa la Tanzania. Katika taarifa kwa wanahabri huko Japan, watafiti hao wanasema kuwa uhaba wa gesi hiyo kote duniani ulikuwa umesababisha taharuki haswa kwa madaktari ambao wanatumia gesi hiyo adimu kuendesha mashine za utabibu zijulikanazo kama MRI scanners, mbali na kutumika katika mitambo ya kinyu

Soma Vichwa Vya Magazeti Ya Tanzania Leo June 29, 2016 Kwenye, Udaku, Hardnews Na Michezo

Soma Vichwa vya Magazeti Ya Tanzania Leo June 28, 2016 Kwenye, Udaku, Hardnews Na Michezo