Skip to main content

Posts

Showing posts from January, 2017

Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la Nne Yatangazwa....... St. Franscis, Kilimanjaro Islamic na Kaizerege Zaongoza

Baraza la Mitihani nchini – NECTA limetoa matokeo ya mitihani ya upimaji kwa wanafunzi wa darasa la nne kwa shule zote za msingi nchini pamoja na ule wa kidato cha pili kwa wanafunzi wa shule za sekondari yanayoonesha ufaulu kuongezeka kwa 1.9%. Katibu Mtendaji wa Baraza lza Mitihani nchini Dkt Charles Msonde ndiye aliyetoa taarifa hiyo leo jijini Dar es Salaam ambapo katika hali isiyo ya kawaida, shule tisa kati ya kumi zilizofanya vibaya katika mtihani wa kidato cha pili nchini, zimetoka mkoani Mtwara kama zinavyoonekana hapa Amesema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 1.9 kutoka 89.12% mwaka 2015 hadi kufikia 91.02% mwaka 2016 ambapo wanafunzi 372,228 wamepata alama zinazowawezesha kuingia kidato cha tatu huku wanafunzi 36,737 wakishindwa kufikisha alama hizo. Shule ya St. Francis Girls ya Mbeya imeongoza katika shule 10 bora kitaifa katika matokeo ya mtihani wa kidato cha pili mwaka 2016 Kwa mujibu wa taarifa hiyo, idadi ya watahiniwa waliopata ufaulu mzuri wa madaraja ya I, II, na

Soma Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatatu Ya January 16

MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2016

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA STANDARD FOUR NATIONAL ASSESSMENT (SFNA) - 2016 RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA GEITA IRINGA KAGERA KATAVI KIGOMA KILIMANJARO LINDI MANYARA MARA MBEYA MOROGORO MTWARA MWANZA NJOMBE PWANI RUKWA RUVUMA SHINYANGA SIMIYU SINGIDA SONGWE TABORA TANGA [post_ads]

MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2016

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA FORM TWO NATIONAL ASSESSMENT (FTNA) - 2016 RESULTS AZANIA SECONDARY SCHOOL BWIRU BOYS SECONDARY SCHOOL CHIDYA SECONDARY SCHOOL DUNG''UNYI SEMINARY LUTHERAN JUNIOR SEMINARY IFUNDA TECHNICAL SECONDARY SCHOOL ILBORU SECONDARY SCHOOL ITAGA SEMINARY IYUNGA TECHNICAL SECONDARY SCHOOL MAFINGA SEMINARY KAENGESA SEMINARY KANTALAMBA SECONDARY SCHOOL KASITA SEMINARY KATOKE SEMINARY KIBAHA SECONDARY SCHOOL ST. JAMES SEMINARY KILIMANJARO BOYS SECONDARY SCHOOL LIKONDE SEMINARY MAKOKO SEMINARY SECONDARY SCHOOL MALANGALI SECONDARY SCHOOL MAUA SEMINARY MOSHI SECONDARY SCHOOL MOSHI TECHNICAL SECONDARY SCHOOL MUSOMA SECONDARY SCHOOL MPWAPWA SECONDARY SCHOOL MTWARA TECHNICAL SECONDARY SCHOOL MZUMBE SECONDARY SCHOOL NAMUPA SEMINARY NYEGEZI SEMINARY PUGU SECONDARY SCHOOL RUBYA SEMINARY SHINYANGA SECONDARY SCHOOL SONGEA BOYS SECONDARY SCHOOL ST. PETER'S SEMINARY TABORA BOYS SECONDARY SCHOOL TANGA TECHNICAL SECONDARY SCHOOL HANGA SEMI