Skip to main content

PICHA za kutoka ndani ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, Mbunge Edward Lowassa awavuta watu wengi kumsikiliza





Niko karibu na wewe mtu wa nguvu.. Headlines nyingi kwenye vyombo vya habari ni ishu ya Uchaguzi Mkuu TZ 2015, wagombea nao kila mmoja anachukua headlines zake!

Niko ndani ya Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha ambako anasubiriwa Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa, kaahidi kuongea kitu leo.. ninakusogezea kila kinachoendelea mtu wangu, haupitwi na chochote ukiwa karibu na millardayo.com.






Mahema ya huduma ya dharura yamewekwa katikati ya Uwanja tayari.









Moja ya geti kubwa la watu kuingilia Uwanjani.

















Ukaguzi unaendelea pia kwa kila anaeingia Uwanjani kuhakikisha tu Usalama unakuwepo.



Mabango nayo hayajaachwa yani !

Comments

Popular posts from this blog

MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2015 YOTE HAYA HAPA

Angalia yote hapa NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2015 EXAMINATION RESULT ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA KILIMANJARO LINDI MARA MBEYA MOROGORO MTWARA MWANZA PWANI RUKWA RUVUMA SHINYANGA SINGIDA TABORA TANGA MANYARA GEITA KATAVI NJOMBE SIMIYU   

VIDEO MPYA: AMANI - KIZUNGU ZUNGU

Angalia hapa

HUYU NDIE MWANAUME"[SHOGA] MWENYE MAKALIO MAKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI,KAAMUA KUPOST HIZI PICHA INSTAGRAM.

Kutana na mwanaume mwenye makalio makubwa kama mwanamke.Kwa jina anaitwa Micah,ni mwanaume ambaye hipsi na makalio yake zinazidi hata zile za wanawake huwezi kuamini hebu tazama hapa utakubali tu mwenyewe.