Skip to main content

Posts

Showing posts from March, 2014

Habari Mbalimbali

Waponea kifo mikononi mwa Boko Haram Wasichana waliotekwa nyara na Boko Haram Nigeria, wameielezea BBC ukatili walio upitia mikononi mwa kundi hilo. Crimea kuugubika mkutano wa G7 Viongozi wa G7 wanatarajiwa kujadili hatua ya Urusi kulinyakua eneo la Crimea. Boti la wakimbizi lazama Ziwa Albert Miili 25 imepatikana katika Ziwa Albert baada ya boti iliyokuwa imebeba wakimbizi wa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kuzama Watu 4 wauawa kanisani Kenya Jumba la wafu na wafungwa la Nigeria Ebola ni kiini cha ugonjwa hatari Guinea Yachukua miaka 60 kujenga hospitali DRC AMISOM wameuteka mji Koryoley, Somalia Picha ya 'mabaki ya ndege' iliyopotea MAKALA MAALUM Wabunge wanaume waonyesha ubabe Kenya Wamepitisha mswada unaowaruhusu kuoa zaidi ya mke mmoja na kusema sio sharti mume kumuomba mkewe ruhusa anapotaka kuoa mke wa pili Michezo Arsenal yaadhibiwa vikali na Chelsea Arsenal imepata kichapo cha mabao 6-0 ikiwa imesalia na wachezaji 10 uwanjani     Real Madrid 9...