Skip to main content

Posts

Showing posts with the label Michezo

Zlatan Ibrahimovic jumps to "perfect player" Wayne Rooney's defence

Zlatan Ibrahimovic has hailed Manchester United colleague Wayne Rooney as "the perfect player" and believes his club's all-time leading scorer in Europe should be held in higher regard. Rooney's goal in the 4-0 Europa League win over Feyenoord on Thursday night was his 39th in continental competitions for United, a tally that saw him eclipse Ruud van Nistelrooy as the leading marksman in European games, and it also leaves him just one behind Sir Bobby Charlton's all-time haul of 249. His latest effort, a delicious dink over Brad Jones, came just five days after he vowed he was "not finished yet" as an England international following the publication of images of the 31-year-old, in Three Lions' gear, appearing worse for wear during the international break. [post_ads] Wayne Rooney enjoyed a record night with Manchester United The furore that has followed The Sun's report into England skipper's Rooney's night has rumbled on ever since...

Paul Pogba: Jose Mourinho hints Man Utd keen to sign Juve star

Jose Mourinho has given his strongest hint that Manchester United want to re-sign Paul Pogba from Juventus by saying "you have smoke, you have fire". The Red Devils are reported to have agreed  a world record £100m transfer for the 23-year-old Frenchman. Pogba left Old Trafford in 2012 as a 19-year-old, with the Italian side paying a tribunal fee of just £800,000. "I am not going to try to make you naive and believe that we are not trying for one player," said Mourinho. The Portuguese manager has made three signings so far this summer, bringing in defender Eric Bailly from Villarreal, midfielder Henrikh Mkhitaryan from Borussia Dortmund and striker Zlatan Ibrahimovic. When asked about the possible signing of Pogba, Mourinho replied: "We set four targets for us, we got three of them and we are going to get the fourth. "We established the profile of four players to improve the squad, to give us more options, especially adapted to my way of thin...

Taifa stars uso kwa uso na Super Eagles.

Charles Boniface Mkwasa Kocha Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa Julai 26, 2016 anatarajia kutangaza kikosi kwa ajili ya kambi ya awali ya wiki moja ikiwa ni maandalizi ya kucheza na Nigeria katika mchezo wa kukamilisha ratiba ya kuwania kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Mkwasa amesema lengo la kambi hiyo itakayoanza Agosti mosi, 2016 ni kuwaweka sawa kisaikolojia wachezaji kabla ya kuita kambi nyingine rasmi wiki ya mwisho ya Agosti kujindaa na mchezo dhidi ya Super Eagles ya Nigeria unaotarajiwa kuchezwa Lagos Septemba 2, mwaka huu. Taifa Stars ilipangwa kundi G kuwania kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ambazo zitafanyika Gabon, mwaka 2017. Timu nyingine katika kundi hilo ni Nigeria, Chad na Misri ambayo tayari imefuzu baada ya kukusanya pointi 10, Nigeria ina pointi mbili. Taifa Stars mpaka sasa ina pointi moja wakati Chad ikijiitoa katikati ya mashindano na kukatisha ndoto za Tanzania...

Ibrahimovic ajiita ‘Mungu’ wa Man United

Manchester, England. Kwa waumini wa dini mbalimbali duniani, watashangazwa na kauli ya mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic. Mshambuliaji huyo raia wa Sweden aliyetua Manchester United msimu huu akiwa mchezaji huru na kulakiwa kwa kejeli na mchezaji wa zamani wa klabu hiyo, Eric Cantona amejibu mapigo kwa kauli inayoshangaza. Alisema kama Cantona ni Mfalme wa United, yeye ataondoka klabu hiyo ya Old Trafford akiwa ‘mungu’ wa klabu hiyo. Cantona alimweleza Ibrahimovic kuwa anaweza kuwa mwana mfalme Old Trafford, kamwe hawezi kuyafikia mafanikio yake, yeye ni mfalme. Lakini, Ibrahimiovic alijibu kwamba mashabiki wa klabu hiyo wasubiri waone na yuko tayari kumziba mdomo Mfaransa huyo mwenye makeke. Alisema: “Ninamzimia Cantona. Nilisikia yale aliyoyasema. Lakini, siwezi kuwa mfalme wa Manchester. Nitakuwa ‘mungu’ wa Manchester,” limeeleza gazeti la Aftonbladet la Sweden. Ibrahimovic aliyetoa kauli tata wakati akiondoka Paris Saint-Germain ali...

VIDEO: Jikumbushe TOP 5 ya magoli bora ya hatua ya mtoano Euro 2016

Michuano ya  Euro 2016   imemalizika lakini kuna mambo mengi ya kukumbukwa kutoka katika michuano hiuyo ya 51 ambayo imemalizika kwa   Ureno   kuibuka kwa ushindi wa goli 1-0 dhidi ya mwenyeji   Ufaransa , moja kati ya vitu vya kukumbukwa mtu wangu ni  TOP 5 ya magoli bora ya  Euro 2016   yaliofungwa katika hatua ya mtoano.

MASTAA WA UJERUMANI WASHINDWA KUTAMBA MBELE YA POLAND

Ujerumani na Poland wamecheza kwa mara ya kwanza mchezo uliomalizika kwa sare ya bila kufungana baada ya mchezo wao wa Euro 2016 kumalizika huku kila timu ikiwa imeshindwa kupata bao katika kupambana kufuzu hatua ya mtoano utoka kwenye makundi. Timu zote sasa zinapointi 4 huku zikiwa zimesaliwa na mechi moja mkononi ambao unawezeza kuwahakikishia kufuzu kwa hatua inayofuata huku Switzerland iliyo nafasi ya tatu ikiwa na pointi tatu ikitegemea matokeo mengine hata kama itashinda mchezo wake wa mwisho. Striker wa Poland Arkadiusz Milik alipoteza nafasi nafasi ya wazi kuifungia timu yake sekunde chache baada ya kuanza kipindi cha pili, mpira wa kichwa alioupiga akiwa hatua nne kutoka golini ukienda nje ya goli wakati kila mtu akiamini nyota huyo angepachika bao. Wachezaji wawili wa Ujerumani Mario Gotze na Mesut Ozil walishindwa kufunga magoli baada ya Lukasz Fabianski kuchukua nafasi ya Wojciech Szczesny aliyeumia huku mashambuliaji wa Poland Milik akipoteza nafasi nyingine y...

CAF yaipa raha Yanga

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF), limemthibitisha beki Hassan Kessy kuchezea Yanga katika michuano ya Kombe la CAF CC hatua ya makundi. Licha ya Kessy pia CAF imetuma leseni ya wachezaji wengine watatu wa Yanga walioongezwa kwa ajili ya kushiriki michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF CC) hatua ya makundi, ambao ni Vincent Andrew ‘Dante’, Benno Kakolanya na Juma Mahadhi. Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Alfred Lucas alisema jana kuwa tayari leseni hizo zimetoka kwa ajili ya wachezaji hao kuitumikia Yanga kuanzia Jumapili ambapo itacheza na Mouloudia Olympique Bejaia ya Algeria. Mchezo huo wa kwanza hatua ya makundi utafanyika Uwanja wa Unite Maghrebine mjini Bejaia, Algeria. “Ni kweli tumepokea leseni za wachezaji wanne wa Yanga walioongezwa katika hatua hii, hivyo wote wapo huru kucheza michuano ya kimataifa kuanzia sasa,” alisema Lucas. Wachezaji hao walijiunga hivi karibuni, ambapo Kakolanya amesajiliwa kutoka Prisons ya Mbeya, wakati Kessy ...

VIDEO: ITALY VS BELGIUM, MAGOLI YOTE

Miongoni mwa michezo ya EURO iliyochezwa leo ni pamoja na mchezo kati ya Italy na Belgium. Haya hapa chini ni magoli yaliyofungwa katika mchezo huo.

MOURINHO NI MENEJA MPYA MAN UNITED!---RASMI

José Mourinho ndie Meneja mpya wa Manchester United kwa Msimu wa 2016/17 baada ya kusaini Mkataba wa Miaka Mitatu ambao pia unaweza kumuweka hadi Mwaka 2020. José, Raia wa Ureno mwenye Miaka 53 na ambae ametwaa Makombe 22 tangu 2003, amefundisha Klabu kadhaa kubwaa Ulaya na kutwaa Mtaji katika Nchi 4 tofauti (Portugal, England, Italy na Spain) ikiwa pamoja na kutwaa UEFA CHAMPIONZ LIGI, mara 2 akiwa na FC Porto 2004 na Inter Milan 2010. Akitangaza rasmi uteuzi huu, Makamu Mwenyekiti Mtendaji wa Man United Ed Woodward, alisema: “Jose ni Meneja Bora kabisa kwenye Gemu hivi sasa. Ametwaa Mataji na kuhamasisha Wachezaji katika Nchi kadhaa Ulaya na pia anaijua Ligi Kuu England nje ndani ambako ametwaa Ubingwa mara 3! Namkaribisha Manchester United!” Nae José Mourinho amesema: "Kuwa Meneja wa Manchester United ni heshima spesho katika Gemu. Ni Klabu inayojulikana na inayopendwa Dunia nzima. Kuna kitu cha ajabu na mapenzi ambacho Klabu nyingine yeyote hawana!” Aliongeza: “Sik...

Video: Real Madrid 8-0 Malmo, Ronaldo afanya mauaji

Cristiano Ronaldo akishangilia goli dhidi ya Malmo Mreno huyo alifunga magoli matatu ndani ya dakika 11kipindi cha kwanza na kuongeza jingine kipindi cha pili na kufikisha magoli 88 Ligi ya Mabingwa Cristiano Ronaldo amefunga magoli manne wakati Real Madrid ilipoiangamiza Malmo na kuufanya uwe ushindi mkubwa katika historia ya makundi Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Man City yapokea dili nono kutoka China

Wamiliki wa klabu ya Man City, Khaldoon Al Mubarak (kushoto) na Sheikh Mansour (katikati) wameuza hisa 13% za kampuni yao kwa kampuni ya CMC ya China. Waswahili wana msemo usemao mwenye nacho huongezewa, msemo huu leo umepata mfano mwingine hai, baada ya moja ya klabu tajiri duniani kutoka EPL kupata dili nono  na kasi ya klabu hiyo ya Manchester City kutaka kuitawala dunia ya soka kuzidi kuimarika. Kikosi cha Kocha Manuel Pellegrin kinashika nafasi ya kwanza katika EPL baada ya mechi 14. Klabu hiyo Manchester City leo imetoa tangazo la kuuza sehemu ya hisa za umiliki wa klabu hiyo kwa kampuni ya Kichina, tangazo la City linasema; ‘City Football Group (CFG) leo inatangaza kuunda ushirikiano wa kibiashara na taasisi inayojumuisha wawekezaji wa Kichina ambao wanaongoza vyombo vya habari, burudani, michezo na internet  chini ya kampuni ya CMC (China Media Capital) Holdings. Klabu za Manchester City, New York City, Melbourne City na Yo...

Kili Stars hakuna kulala wakabwa koo

Addis Ababa .  Waswahili wanasema ‘Kupanda ngoma kushuka mchongoma’ na hicho ndicho kinachotarajiwa kutokea katika robo fainali za mashindano ya Kombe la Chalenji 2015 zinazotarajiwa kuanza leo kwenye Uwanja wa Addis Ababa, Ethiopia. Michezo ya robo fainali inaangaliwa kiushindani zaidi kutokana na timu zilivyojiandaa na nyingine kukutana kwa mara ya pili kutoka katika kundi moja. Katika timu nane zilizofuzu robo fainali ni mechi mbili zitazikutanisha timu zilizokutana katika hatua ya makundi ambazo ni vinara wa Kundi A ambao ni Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ watarudiana na wenyeji Ethiopia, Wakati washindi wa pili wa Kundi C, Sudan Kusini watajiuliza kwa ndugu zao Sudan waliokuwa wote kundi moja. Kocha wa Kilimanjaro Stars, Abdallah ‘King’ Kibadeni anautazama mchezo huo kuwa wenye changamoto kutokana na kucheza na wenyeji, ambao hushangiliwa kwa nguvu na mashabiki wao. “Tulicheza nao Jumamosi jana (juzi) kule Awassa na kutoka sare 1-1, hivyo nahitaji kubadilisha ...

TAIFA STARS YAING’ANG’ANIA VIBAYA ALGERIA YATOKA SARE YA 2-2 UWANJA WA TAIFA.

Wachezaji wa timu ya Taifa Stars na Algeria wakichuana vikali kuwania mpira katikati yao wakati wa mchezo wa kufuzu fainali za kombe la dunia  uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam huku timu hizo zikitoshana nguvu kwa kufungana magoli 2-2 na kuifanya Taifa Stars kuwa na kibarua kigumu wakati wa mchezo wa maruduano utakaofanyika Novemba 17 mjini Algers Algeria ili kusonga mbele katika michuano hiyo.Taifa Stars  inahitaji kushinda katika mchezo wake huo ili iweze kusonga mbele. Baadhi ya washangilianji wakishangilia kwa nguvu wakati wa mchezo huo uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Hii ni staili moja wapo iliyotumiwa na washngiliaji wa timu ya Taifa Stars katika mchezo huo. Mdau Muddy, Bariki na  marafiki zao walikuwa ni mmoja wa mashuhuda wa mchezo huo kwenye uwanja wa Taifa Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars. Kikosi cha timu ya Taifa ya Algeria kikiwa kat...

Video: Matokeo ya Germany vs Georgia na France vs Denmark

Thomas Muller (kulia) akipongezwa na Andre Schurrle (kushoto) baada ya kufunga bao la kwanza Hapo jana timu ya taifa ya Ujerumani ilipata ushindi mwembamba wa bao 2-1 dhidi ya Georgia katika mechi ya group D na kujikatia tiketi za michuano ya ulaya (Euro 2016) itakayofanyika nchini Ufaransa. Bao la kwanza lilifungwa na Thomas Muller kwa njia ya penati dakika ya 44 huku la pili likifungwa na Max Kruse dakika ya 78 akipokea pasi ya goli kutoka kwa Mesut Ozil. Baadhi ya wachezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa wakimpongeza, Olivier Giroud baada ya kuifungia timu hiyo bao la kuongoza Wenyeji wa michuano ya hiyo, timu ya taifa ya Ufaransa, ilipata ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Denmark yaliofungwa na Straika wa klabu ya Arsenal, Olivier Giroud, katika mchezo uliokuwa wakirafiki.

Stars yaifuata Algeria kwa Jasho

Blantyre, Malawi. Kipa Ally Mustafa ameibuka shujaa baada ya kuiongoza timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kusonga mbele kwa hatua ya pili ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2018, licha ya kufungwa bao 1-0 na Malawi kwenye Uwanja wa Kamuzu Banda. Katika mchezo huo wa jana kipa wa Stars, Mustafa ‘Barthez’ alifanya kazi kubwa kupangua mashuti ya washambuliaji wa Malawi katika muda wote wa mchezo. Dakika ya tisa, kipa Barthez alilazimika kufanya kazi ya ziada kuokoa shuti kali la mshambuliaji wa Malawi, Schumaker Kuwali baada ya walinzi wa Stars kushindwa kumkaba vema nyota huyo. Malawi ilipata bao la pekee dakika ya 44 lililofungwa na John Banda ambaye alipata mpira akiwa nje ya eneo la 18 na kupiga shuti lililokwenda moja kwa moja wavuni. Stars imesonga mbele kwa jumla ya mabao 2-1 baada ya kuichapa Malawi mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Taifa Jumatano iliyopita na sasa itakabiliana na Algeria katika mechi inayofuata ya kusaka tiketi ya kuingia hatua ya makundi kuwania kufuzu...

Messi amwagia sifa staa wa Man Utd

Messi amwagia sifa staa wa Man Utd Katika mahojiano aliyofanyiwa na gazeti la mtandao wa Shortlist, Lionel Messi, amemtaja staa wa Man Utd, Wayne Rooney, kama miongoni mwawachezaji bora wa Dunia kutokana na kipaji cha hali ya juu alichonacho uwanjani hatakama akihamia ligi kuu nchini Hispania. Alipoulizwa swali ni kwanini England inashindwa kuzalisha wanasoka bora wenye kiwango cha Dunia alijibu; ‘sidhani kama swala hilo linaukweli juu yake, kwa mfano Rooney ni mchezaji mwenye ubunifu wa hali ya juu nasidhani kama klabu yake ya Man Utd itaweza kumruhusu ahamie katika klabu nyingine kirahisi kutoka na mchango wake katika kikosi.’ Mpaka sasa Rooney ameshafunga magoli 47 katika timu yake ya taifa huku akiifukuzia rekodi Booby Charlton ya magoli 49, Jumapili hii England itamenyana na Slovenia katika mpambano wa kuisaka tiketi ya kushiriki michuano ya Euro 2016 nchini Ufaransa na Rooney anatazamiwa kupunguza ‘gap’ la magoli mawili anayozidiwa na mkongwe Bobby Charlton...

Jamaica yalala 1-0 mbele ya Uruguay

Timu ya taifa ya Uruguay imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Jamaica katika mchezo wa mashindano ya Copa America yanayoendelea huko nchini Chile. Bao hilo pekee la Uruguay limefungwa na mchezaji Cristian Rodriguez katika dakika ya 52. Kwa matokeo hayo Uruguay inaongoza kundi hilo ambalo lina timu za Paraguay na Argentina. Hizi ni baadhi ya picha za mtanange huo. Timu ya taifa ya Uruguay imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Jamaica katika mchezo wa mashindano ya Copa America yanayoendelea huko nchini Chile. Bao hilo pekee la Uruguay limefungwa na mchezaji Cristian Rodriguez katika dakika ya 52. Kwa matokeo hayo Uruguay inaongoza kundi hilo ambalo lina timu za Paraguay na Argentina. Hizi ni baadhi ya picha za mtanange huo. Mshambuliaji Cristian akishangilia mara baada ya kufunga bao Mlinda mlango wa Jamaica akishuhudia mpiara unavyotinga wavuni Wachezaji wa timu ya Uruguay wakishangilia mara baada ya kupata mchezaji mwenzao kufunga bao Wach...

Video: Haya ndiyo mabao 122 yaliyofungwa na washambuliaji wa 3 wa #Barcelona msimu huu>> Angalia hapa

Nyota wa Barcelona Lionel Messi, Luis Suarez na Neymar (MSN) msimu uliomalizika wameweka rekodi ya kuwa washambuliaji hatari baada ya wote kwa pamoja kufunga mabao 122 katika mechi zote walizocheza. Tazama hapa video ya mabao yote waliyofunga msimu wa 2014-2015.