Skip to main content

Posts

Showing posts with the label Afya

10 Healthiest Snacks for Women >>> Find out more by click here

Find out what you should eat for a healthy treat! Snacking is an excellent way to eat smarter and healthier. When you feel those hunger pangs coming on between meals, they may be too much to ignore. You can’t just push away the hunger and pretend that it doesn’t exist. So what do you do? You have a snack! Having a snack is the key to staving off hunger pangs, boosting energy, and promoting healthy nutrition. If you are trying to diet or control your food intake, you’ll find that snacking is the key to staying faithful to your eating plans. Here are some of the healthiest snacks you can add to your diet: Oats – Granola, oatmeal, and muesli are three delicious forms of oats that you can eat. Oats make a wonderful snack because they are high in nutrients (protein, carbs, fiber, minerals, etc.) but they are also very filling. A small serving of oats will be all you need to avoid hunger for hours. Peanut Butter – Peanut butter is rich in fats, but it’s the good kind of fat ...

DAKTARI AANIKA UGONJWA WA BANZA STONE

Gladness Mallya/ijumaawikienda Inasikitisha sana! Huku akitundikiwa dripu nyumbani kwao, Sinza ya Vatican jijini Dar, daktari ameanika ugonjwa unaomtesa staa wa muziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ kuwa vipimo vinaonesha anashambuliwa na fangasi kichwani (ubongo) na shingoni. Staa wa muziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’. YU HOI TENA Habari zinaeleza kuwa tatizo hilo limesababisha Banza kuwa hoi kwa mara nyingine akiumwa na kichwa kupita kiasi hivyo kushindwa kufanya lolote.Kufuatia maumivu anayoyapata, Banza amewaomba Watanzani wamuombee kwani anaamini katika maombi yao. MAOMBI MUHIMU Akizungumza kwa tabu na Ijumaa Wikienda, Banza ambaye kwa sasa hawezi kunyanyuka kwenye kochi alisema anatamani angepona ili arudi jukwaani hivyo maombi yao ni muhimu kuliko kitu chochote na ni msaada tosha kwake. “Kikubwa nawaomba Watanzania waniombee kwani hali niliyonayo siyo ya kawaida, nasikia maumivu makali sana ya kichwa na shingo hadi nashindwa kula.“Hata kuongea ...

Tanzania ina watu wazima vikojozi 500,000>>>>Bofya Kubaini zaidi

Kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano, kukojoa kitandani au kujikojolea ni jambo la kawaida. Lakini vijana na watu wazima kujikojolea kitandani mara kwa mara siyo jambo la kawaida katika jamii. Watu wenye tatizo hili hujulikana kama vikojozi. Kitabu cha afya ya akili kilichotolewa na Chama cha Madaktari wa Magonjwa ya Akili cha Marekani kinasema kwamba kikojozi ni mtu mwenye tatizo la kujikojolea nguoni au kitandani angalau mara mbili ndani ya kipindi cha wiki moja na kwa muda wa miezi mitatu mfululizo akiwa na umri wa miaka mitano au zaidi. Katika tafiti mbili zilizochapishwa mwaka 2003 kuhusu ukubwa wa tatizo la watoto vikojozi, ilibainika kuwa idadi yao ni kubwa katika jamii kufikia kati ya asilimia 14.7 na 20. Tafiti kadhaa za afya ya jamii zinabainisha kuwa watoto wa kiume hukabiliwa zaidi na tatizo hili kuliko wa kike kwa uwiano wa 2:1. Pia utafiti mwingine unaonyesha kuwa watoto wa kiume wanakabiliwa na tatizo hili mara tatu zaidi ya watoto wa kike. Katika ut...