Skip to main content

Posts

Showing posts with the label Vituko

Aishi siku 555 bila moyo wake, akitumia moyo feki kwenye begi

Kwa wapita njia , kijana huyo mwenye umri wa miaka 25 mkazi wa Michigan, alionekana ni mtu mzima akifurahia kuwapeleka watoto wake watatu katika park, akiwa na mdogo wake Dominique. Kitu ambacho hakikuwa cha kawaida ni begi lake la kijivu alilolibeba mgongoni muda wote, ndilo lililokuwa likimuweka hai. Ndani ya begi hilo kulikuwa na mashine (power source) ya kusaidia kusukuma damu kwenye moyo huo feki kifuani kwake. Moyo halisi wa Larkin ulitolewa kutoka mwilini mwake November 2014, na kuwekewa kifaa ambacho kilimuzesha kukaa nyumbani badala ya hospitali, wakati akisubiri kuwekewa moyo halisi wa binadamu. Na hatimaye mwezi Mei mwaka huu, Larkin anaendelea vema baada ya kuwekewa moyo halisi wa binadamu katika kituo cha mishipa na moyo cha Frankel, katika chuo kiku cha Michigan, na kutarajiwa kurudi nyumbani kwake mapema ya wiki ijayo. “Watu wengi wangeogopa kwenda muda mrefu na moyo feki, lakini nataka kuwaambia unatakiwa kwenda na woga, sikutaka kukubali upasua...

Afukuzwa CCM kwa kumfanyia kampeni Lowassa

Licha ya kukiuka maadili ya umoja huo, Mwininga anadaiwa kukisaliti chama hicho wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu uliopita kwa kuwatukana viongozi wa ngazi za juu kwa njia ya mtandao. Geita. Halmashauri ya CCM Mkoa wa Geita imemvua ujumbe wa Mkutano Mkuu, Peter Mwininga baada ya kudaiwa kukiuka maadili ya Umoja wa Vijana (UVCCM). Licha ya kukiuka maadili ya umoja huo, Mwininga anadaiwa kukisaliti chama hicho wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu uliopita kwa kuwatukana viongozi wa ngazi za juu kwa njia ya mtandao. Akizungumza baada ya kikao hicho juzi, Katibu wa Siasa na Uenezi CCM mkoani hapa, Said Kalidushi alisema baada ya wajumbe wa halmashauri kuu kupokea malalamiko na mapendekezo kutoka UVCCM, waliamua kumvua nafasi ya ujumbe huo kutokana na kupungukiwa na sifa. Kalidushi alisema wakati wa kampeni Mwininga alikihujumu chama chao na kumfanyia kampeni mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa, huku akijua wazi kuwa ni kosa. Katibu wa UVCCM mkoani hapa, Mashaka Mshola alisema kiten...

Wasanii 2 wa Bongo Movie wajiapiza kutozikana>>>Je unajua ni nani....Soma Hapa

Kwa hali ya kushangaza wasanii wawili wa filamu wa hapa nchini William Mtitu na Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ wamejiapiza kuwa wasizikane ikitokea mmoja kati yao akafariki dunia huku chanzo ni kila mmoja kumtuhumu mwenzake kwa unafiki. Wakizungumza na Amani kwa nyakati tofauti juzi, wawili hao wameapa wasijuane kwa hali yoyote iwe kwa matatizo kama mmoja wao kufiwa au yeye kufariki dunia, basi mwingine asihudhurie msiba na mazishi ya mwenzake. Steve Nyerere, ndiye alikuwa wa kwanza ‘kuapa’ mbele ya gazeti hili ndani ya Viwanja vya Leaders, Dar kulikokuwa na kikao cha maandalizi ya sherehe ya harusi ya msanii mwenzao, Hadji Adam ‘Baba Haji’. “Hakuna mtu mnafiki kama Mtitu, sitaki kabisa hata kumsikia na kila nikimtazama najisikia vibaya mno, mkiwa pamoja anaonekana mwema lakini baada ya hapo anakuwa msaliti, kwanza hata nikifiwa sitaki kumuona msibani, nikifa mimi hakika asihudhurie mazishi yangu, naapa,” alisema Nyerere huku akimtazama mwandishi kwa jicho la ‘sitanii kaka...

Nyuki yasababisha safari ya ndege kutibuka

Nyuki yasababisha safari ya ndege kutibuka Abiria wa ndege moja ya shirika la ndege la Flybe linalohudumu nchini Uingereza walicheleweshwa kwa zaidi ya saa mbili baada ya wahandisi wa ndege hiyo kubaini kuwa nyuki alikuwa amepenyeza na kuingia ndani ya mitambo ya ndege hiyo na hivyo safari haingewezekana. Ndege hiyo ya Flybe yenye namba ya usajili BE384 iliyokuwa ikitoka Southampton kuelekea Dublin. Wahandisi walilazimika kutafuta mbinu ya kumtoa mdudu huyo. Abiria mmoja aliyekuwa ndani ya ndege hiyo Noel Rooney, anasema hakuamini tukio hilo hasa kwani ndge hiyo imeitwa jina la nyuki! Taarifa kutoka kwa shirika hilo lilisema kuwa nyuki huyo alikuwa ndani ya mitambo muhimu ambayo ingehatarisha maisha ya abiria wake. ''rubani wetu alitahadharishwa na kuwepo kwa nyuki na akalazimika kurejea maramoja katika uwanja wa ndege wa Southampton'.' Nyuki huyo alikuwa ndani ya mitambo muhimu ambayo ingehatarisha maisha ya abiri...

MADENTI MSINGI WAJIUZA SH.2000>>> Soma na angalia picha kwa undani zaidi hapa

  DUSTAN SHEKIDELE, MORO UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Farao! Kumekuwa na madai ya baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi mjini hapa kujiuza kwa waendesha bodaboda kwa gharama ya shilingi elfu mbili tu. Mwanafunzi anayedaiwa kujiuza kwa waendesha Bodaboda. Kufuatia madai hayo, mwandishi wa kikosi cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ mjini hapa alifanyia kazi madai hayo na kufanikiwa kumnasa Ally Shabani (34) ambaye ni dereva wa bodaboda akiwa na mwanafunzi wa darasa la nne, Shule ya Msingi ya Kiwanja cha Ndege mkoani hapa (jina tunalo).Tukio hilo la kushangaza na kusikitisha pia, lilijiri Jumamosi iliyopita saa 7 mchana katikati ya mashamba ya mkonge yaliyopo Kihonda Kwachambo ambayo yanamilikiwa na Jeshi la Magereza jirani kabisa la Gereza la Kihonda. MAMA MZAZI AISAKA OFM Awali, mama mzazi wa denti huyo, Mariam Jongo alimtafuta Kamanda wa OFM Mkoa wa Morogoro na kumweleza kuhusu tabia ya bodaboda huyo na mwanaye, alisema: ”Naomba msaada wako baba, kuna dereva wa bo...

UWIII BALAA TUPU AUNTY EZEKIEL AFANYA KITUKO HICI AWEKA TUMBO WAZI NA KUITA WATOTO WALICHEZEE NA KULIPIGA BUSU ASEMA MANENO MMH UKIYASIKIA ALIVYOSEMA WENGI WADAI DONGO KWA WEMA

Bongo Movie Aunty Ezekiel show her Baby bumps in front of children and say this words ...    

BAADA YA SHILOLE KUFANYA MAMBO NA KUPATA KIKI>>>MTANGAZAJI DIVA WA CLOUDS FM NAYE AONYESHA MANYONYO YAKE>>>AISEE>>WAKUBWA TUU>

Lemutuz shared the above  photo and captioned; Le Super Mutindizzzz my baby Diva @divathebwase ....I love it U know le.mukareeezzz halafu yapo live U know be you baby there is no body like yah baby have fun U know nakupenda mpaka nasikia LE TAMKOZZZZ U know! - le Mutuz

BALAA GANI HILI>>>>HEBU JIONEE MDOGO WAKE ZARI ALIVYOVALIA KINGUO HIKI KILICHOACHA BIDHAA ZAKE WAZI>>

Ng'ombe awala kondoo Kenya.

Ng'ombe anayewala Kondoo Kenya Mkulima mmoja nchi Kenya anasema kuwa mmoja wa ng'ombe wake amesusia lishe yake ya kawaida na kuanza kuwala kondoo. Charles Mamboleo, ambaye anamiliki shamba kusini magharibi mwa kaunti ya Nakuru aligungua kuwa ng'ombe wake amemla kondo siku moja asubuni. Jitihada zake za kumpa ng'ombe huyo chakula na maji hazikufua dafu, na siku iliyofuata ng'ombe huyo alimla kondoo mwingine. Kulingana na afisa mmoja wa kilimo ni kuwa , huenda tabia ya ng'ombe huyo huenda imetokana na ukosefu wa madini yanayopatikana kwa mimea mbichi. Hali ya kiangazi ambayo ilimalizika hivi majuzi huenda imesababisha mifugo kukosa madini yanayopatikaan kwenye nyasi mbichi. Mwaka 2007 ndama mmoja nchini India alinaswa kwenye mkanda wa video akila kuku.   Chanzo BBC

Wajue mapacha ambao wanachangia mapenzi kwa mpenzi mmoja

Mapacha ambao huwezi kubaini tofauti yao kwa haraka Lucy na Anna ni mapacha ambao wanatokea jimboni Perth nchini Australia, mapacha hawa wamekuwa wakifanya vitu vinavyofanana kila wakati. Lucy na Anna wakiwa wanajiremba Kutokana na mwonekano wao mtangazaji mmoja wa televisheni kutoka japani amesema hawa ndiyo mapacha wa kipekee duniani. Je mdau wangu wewe unaweza kuwatofautisha warembo hawa Warembo hawa wameonekana kujizorea umaarufu duniani kutokana na kufanana kisura,kufanya kazi moja kwenye kituo cha kuwatunza watu wazee, kutumia akaunti moja ya facebook, kutumia kitanda kimoja, kupokea mshahara mmoja pia kuchangia mapenzi kwa mpenzi mmoja. Mapacha hao wakionesha tabasamu lao Hata hivyo kwasasa mapacha hao wamealikwa katika mashindano ya kutafuta mapacha wanaofanana kila kitu nchini Japani na kuna uwezekano mkubwa kwa mapacha hao kuibuka washindi. Mapacha hao wakiwa na mpenzi wao ambaye ni fundi umeme

Mapenzi yawachanga hadi kujitupa mtoni>> Soma hapa

Wasichana hao wakiokolewa na askari wa zimamoto Mwanaume mmoja kutoka China amejikuta katika wakati mgumu baada ya mpenzi wake wa sasa na wa zaman kujitosa mtoni ili kuona nani ataanza kuokoloewa kwanza. Wu Hsia, 20 aliachana na msichana wake wa awali, Jun Tang 20 baada ya kumpata mpenzi mpya, Rong Tsao mwenye umri wa miaka 22. Baada ya kupita miezi 3, Jun akaanza kufanya jitihada za kumpata tena mpenzi wake huyo. Ndipo Wu alipoamua kupanga kukutana nao wote wawili lakini alishindwa kuamua abaki na nani. Wasichana hao wakiibuliwa kutoka mtoni Siku nyingine alipanga kukutana nao baada  kukutana walianzisha mabishano ya nani anapendwa zaidi na ndipo wapoamua kujitosa mtoni kuangalia upendo wa mpenzi wao yamekolea kwa nani. Msemaji wa Polisi alieleza kuwa wasichana hao walianza kubishana na Jun akahisi kutukanwa na mpenzi mpya wa mvulana wake hivyo alichukua uamuzi wa kujitosa mtoni na kuanza kumpigia kelele   Wu...

Angalia live Viatu vinavyojifunga kamba vyenyewe

Viatu hivi vina uwezo wa kujifunga kama vyenyewe Ni miaka 26 tangu tuone viatu vikijifunga kamba zenyewe kama ilivyokuwa kwenye matangazo ya biashara ya viatu vya Nike vyake Marty McFly vikijifunga miaka hio. hio Hilo lilikuwa tu tangazo la bishara zamani sana lakini kuna mtu ambaye aliwaza hivyo miaka hiyo na kusema atakuja kuzindua viatu vyenye uwezo wa kujifunga kamba. Na kwake ndoto hio imetimia. Wahandisi nchini Ujerumani wamebuni viatu ambavyo vina uwezo wa kujifunga kamba. Walifanikiwa kufanya hivyo kwa kuweka 'cherger'mfano kama ile ya simu kwenye viatu hivyo ambavyo vinatumia kawi kujionea wenyewe itakavyokuwa kwenye miguu tofauti. Pindi unapovaa kiatu hicho, sensa ya kiatu inakiambia kwamba mguu uko sawasawa na kuchochea kawi kwenye kiatu kile kuamrisha kamba kujifunga zenyewe. Wakati unataka kuvua viatu utahitajika kubonyeza au kugonga wayo wa kiatu kile mara mbili na vile vile kuna miale in...

SODOMA NA GOMORA ITASUBIRI SANA KWA NZANZIBAR KWA HICHI KILICHOTOKEA HAPA

ZANZIBAR iliyokuwa ikisifika kwa sifa njema za utu na maadili siyo hii ya sasa, video iliyonaswa na gazeti hili, ikiwaonesha wake na waume za watu wakifanya vitendo vya kifuska, inatosha kutoa taswira ya hali ilivyo visiwani hapa. Video hiyo inaonesha wazi kwamba kuna watu ndani ya Zanzibar wamekubuhu kwa michezo ya ‘kishetanishetani’ kiasi kwamba hata miji ya Sodoma na Gomora inakuwa cha mtoto kwa kulinganisha matukio.   Biblia na Msahafu ambavyo ndani yake kuna vitabu vinne vitakatifu, Torati, Zaburi, Injili na Kuran, vinaeleza kwa mapana maovu yaliyofanywa na jamii ya mtumishi wa Mungu, Lutu, katika miji ya Sodoma na Gomora. Video kutoka Zanzibar ambayo imerekodiwa Unguja, ni wazi inafunika uharamia wa Sodoma na Gomora kwa jinsi waume na wake za watu, walivyokuwa wanatenda vitendo vya ngono hadharani, huku watoto wakishuhudia. UCHAFU WA NGONO KATIKA KIDUMBAKI Kidumbaki ni ngoma ya asili ya Zanzibar iliyorithiwa kutoka kwa mababu, kwa kawaida huchezw...

AIBU YA FUNGA MWAKA: MSANII WA BONGO MOVIE ANASWA AKIVUNJA AMRI YA 6 NDANI YA GARI

Msanii wa Bongo Movies, Stani Bakora na binti huyo wakiwa kwenye mahaba mazito. HII kweli ni aibu funga mwaka! Msanii wa Bongo Movies, Stani Bakora amenaswa na paparazi wetu akivunja amri ya sita ndani ya gari na dada mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja, Amani linakupa mchapo kamili.Tukio hilo la kinyaa lilitokea hivi karibuni maeneo ya Masaki jijini Dar es Salaam, karibu kabisa na maegesho ya magari yanayotumiwa na ukumbi wa burudani wa New Maisha.Chanzo makini kilichomuona msanii huyo, kilimtonya paparazi wetu siku hiyo baada ya kubaini msanii huyo amekuwa na kamchezo hako kachafu kila anapokwenda klabu hapo. Baada ya kukurupushwa. “Huyu jamaa amekuwa na haka kamchezo ka kwenda kumalizia kwenye parking za magari sasa leo kaja na kabinti f’lani hivi, njooni mmnase,” kilisema chanzo hicho.Bila kupoteza muda, paparazi wetu alitumia usafiri wa bodaboda ndani ya dakika sifuri alifika eneo la tukio ambapo siku hiyo kwenye ukumbi wa New Maisha Club kuli...

SHEREHE YA ‘ESCROW’ NOMA, WATOTO WA KIGOGO WAFANYA BETHIDEI YA MAMILIONI

WAKATI dunia ikiingia Mwaka Mpya wa 2015, taarifa ikufikie kwamba kigogo mmoja ambaye ni mfanyabiashara maarufu jijini Dar amewaangushia wanaye, Hassan na Khadija Dilunga sherehe ya kuzaliwa ambayo imepachikwa jina la ‘Escrow’ kufuatia kufuru ya fedha iliyooneshwa na wahusika hivyo kuwa ndiyo gumzo la mjini kwa wikiendi iliyopita. Bethidei ya Hassan na Khadija Dilunga wakiwa na makapu ya fedha. MSHANGAO! Sherehe hiyo ilichukua nafasi kwenye Ukumbi wa Msasani Tower jijini Dar juzi ambapo waalikwa wengi walijikuta wakibaki midomo wazi kwa vile wakati wanafika nje walijua ni harusi ya mtoto wa mtu mzito serikalini lakini walipozama ndani walipigwa butwaa kukuta ni ‘bethidei’. “Du! Ni sherehe ya aina yake, watoto wameingia kama maharusi kwa kumwagiwa maua tena wana ‘meidsi’ na upambaji wa ukumbi unatisha,  naona umesheheni mapambo ya gharama kubwa,” alisikika akisema mwalikwa mmoja huku akiendelea kushangaa maandalizi hayo ya kukata na mundu kama ...

Wasanii Wengi wa Tanzania wana UKIMWI – Dude

Staa wa Filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameibuka na kusema kuwa kuelekea mwisho wa mwaka mastaa wengi wana Ukimwi na mbaya zaidi wanaambukizana wao kwa wao.   Akizungumza na gazeti la Ijumaa,  Dude alisema kuwa mastaa wazima ni wa kuhesabika na kutaja sababu kubwa kuwa ni kubadilishana na kuibiana wapenzi bila kuwa na woga .   “Utakuta Mbongo Fleva ana mtu kwenye Bongo Muvi na Mbongo Muvi ana mtu kwenye dansi au kwa mamis au hata wacheza mpira, ukitaka kuujua ukweli tangaza dau kuwapima mastaa uone watakaojitokeza,”  alisema Dude.   Aidha, Dude alisema anavyoona yeye ingeanzishwa kampeni ya mastaa wa Bongo kupima Ukimwi kwani anawahofia watoto wa kizazi kipya zaidi ambao wanajikuta wanaingia pabaya na kuzima ndoto zao.