Skip to main content

Posts

Showing posts with the label Matukio

Mwanafunzi Apigwa Risasi na Polisi Dar.......Askari Wawili Watiwa Mbaroni

Mwanafunzi wa kidato cha kwanza wa Shule ya Sekondari Gerezani, Shakil Sures amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) baada ya kujeruhiwa kwa risasi na polisi kwenye mazingira ya kutatanisha.  Tukio hilo lililotokea Jumatatu eneo la Fire, Upanga licha ya watu kusikia milio ya risasi, kushuhudia polisi wakipita na kumuona kijana huyo akiwa tayari kajeruhiwa, lakini hakuna mwenye maelezo sahihi kuhusu nini kilitokea hadi askari hao wakachukua hatua hiyo.  Baadhi ya waliokuwapo eneo la tukio siku hiyo walidai kuwaona askari waliokuwa eneo hilo wakirusha risasi, bila kujua walikuwa wakipambana na nani.  Mmoja wa mashuhuda, Athumani Simba alidai walidhani ni majibizano ya risasi kati ya askari na majambazi, baada ya kuona gari la polisi likipita eneo hilo.  “Niliwaona askari wawili wakielekea eneo la Fire huku wakipiga risasi, ghafla nilimuona mwanafunzi akilia huku akiwa ameshika mguu wake akiomba msaada,”  alisema Simba.  Ofisa U...

Boko Haram: Nigerian officials 'sexually abusing' victims

More than 16,000 people live in this makeshift camp outside Maiduguri W omen and girls in several camps in the Nigerian town of Maiduguri are being sexually abused by officials, a rights group says. H uman Rights Watch (HRW) said it had spoken to 43 victims who had been raped or sexually exploited by vigilante groups and security officials. The president has ordered an investigation into the alleged abuses. Islamist militant group Boko Haram's insurgency has left 20,000 people dead and more than two million displaced. Many of those forced from their homes have fled to camps around the Borno state capital, Maiduguri. However, the HRW report says some of them have suffered abuse in those camps. Some said they had been coerced into sex and abandoned when they became pregnant. "It is disgraceful and outrageous that people who should protect these women and girls are attacking and abusing them," said HRW's Mausi Segun. The group said irregular supplie...

Flesh-eating Bacteria: I'do it again

A fight with flesh-eating bacteria four years ago left Aimee Copeland without her left leg, her right foot and both hands. It's been about four years since Aimee Copeland   lost   her hands, a leg and a foot in a fight with flesh-eating bacteria, and she is bragging about beating friends in arm wrestling. She's sitting on a mat in a small exercise room of her Atlanta house, with ankle weights slipped over her surgically shortened arms, wearing no prosthetic save for the right foot she uses to help her slide and twist off her wheelchair. She lifts her arms and lowers them, demonstrating one of the many exercises she does for near-daily 90-minute sessions. "Arm strength is so important when you're missing one whole leg," she says, before musing about how strong she is. "I've beaten pretty much everybody at this house in arm wrestling," she explains, without even using her hand prostheses. Her opponents grabbed the end of her arm, elbows...

Bin Laden's son threatens revenge for father's assassination: monitor

Newspaper headlines and clippings are posted on a wall inside a staff office at the White House in Washington May 2, 2011, the morning after U.S. President Barack Obama announced the death of Osama bin Laden. REUTERS/JASON REED The son of slain al Qaeda leader Osama bin Laden has threatened revenge against the United States for assassinating his father, according to an audio message posted online. Hamza bin Laden promised to continue the global militant group's fight against the United States and its allies in the 21-minute speech entitled "We Are All Osama," according to the SITE Intelligence Group. "We will continue striking you and targeting you in your country and abroad in response to your oppression of the people of Palestine, Afghanistan, Syria, Iraq, Yemen, Somalia and the rest of the Muslim lands that did not survive your oppression," Hamza said. "As for the revenge by the Islamic nation for Sheikh Osama, may Allah have mercy on him...

Kampuni ya mabasi ya City Boy iliyoua Watu 30 yafungiwa

Siku moja baada ya kutokea ajali ya mabasi iliyosababisha vifo vya watu 30 na majeruhi kadhaa, Kampuni ya mabasi ya City Boy imefungiwa kufanya biashara hiyo kwa muda usiojulikana. Ajali hiyo ilitokea eneo la Maweni, Manyoni, mkoani Singida baada ya mabasi ya kampuni hiyo, moja likitokea Dar es Salaam na lingine likitokea Kahama kuelekea Dar es Salaam kugongana. Msemaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), David Mziray amesema leo kuwa kampuni hiyo ina miliki mabasi 12 na yote yamefungiwa kufanya safari yoyote kuanzia leo. “Mabasi hayo yamefungiwa kuanzia leo kwa muda usiojulikana, ukaguzi wa mabasi yao utaanza kufanyika kupitia jeshi la polisi,”  amesema Mziray.

Idadi ya vifo yaongezeka kutokana na shambulizi la mabomu Uturuki

Mtu aliyejeruhiwa akiwa katika gari la kubeba wagonjwa katika uwanja wa ndege wa Ataturk Mwandishi wa VOA Dorian Jones huko Instanbul amesema mlipuaji mmoja wa mabomu alijilipua nje ya eneo la kupokea wageni wa kimataifa kwenye uwanja huo wa ndege eneo hilo kwa kawaida hujaa watu wakingoja usafiri. Waziri mkuu wa Uturuki Binali Yildrim ametoa wito wa umoja wa kitaifa mapema Jumatano asubuhi ikiwa nchi yake inakumbana na ongezeko la vifo kutokana na shambulizi la kujitoa muhanga liliouwa watu 39 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Atartuk -Instanbul huko Uturuki. Yildrim akiwa na mawaziri wake amesema idadi hiyo ya waliofariki ni pamoja na walipua mabomu wa kujitoa muhanga watatu ambao waliwasili na gari aina ya Taxi Jumanne usiku katika uwanja wa ndege ulio na shughuli nyingi na kufyatua risasi kwa kutumia bunduki rashasha na kupiga risasi watu tofauti waliokuwa uwanjani hapo kabla ya kulipua mabomu wakati polisi wakikaribia. Alisema wegi waliuwawa “wengine wako k...

Hifadhi ya gesi ya Helium yagunduliwa Tz

                              Share To:                                       Hifadhi kubwa zaidi ya gesi ya Helium yagunduliwa Tanzania Tanzania ni miongoni mwa mataifa machache duniani yaliyojaliwa kuwa na rasilimali na madini mengi. Na baada ya kugunduliwa kwa gesi asili huko Mtwara na dhahabu sasa watafiti kutoka Uingereza wamegundua hifadhi kubwa zaidi duniani ya gesi adimu zaidi ya Helium nchini Tanzania. Watafiti kutoka chuo kikuu cha Oxford na kile cha Durham kwa ushirikiano na wataalumu wa madini kutoka Norway wamegundua uwepo wa takriban futi bilioni 54 za gesi hiyo ya barafu kama inavyofahamika. Ugunduzi huo umefanyika katika eneo la bonde la ufa la Tanzania. Katika taarifa kwa wanahabri huko Japan, watafiti hao wanasema kuwa uhaba wa gesi hiyo kote duniani ulikuwa umesaba...

Taarifa Ya Utekelezaji Wa Maagizo Ya Serikali Kuhusu Ukomo Wa Matumizi Ya Simu Bandia Nchini Ifikapo 16 Juni 2016

1.0   UTANGULIZI 1.1.   Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ni taasisi ya Serikali yenye dhamana ya kusimamia shughuli za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta hapa nchini. Kuwepo kwa Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA) ya 2010 na Kanuni za EPOCA (CEIR) za mwaka 2011 zimewezesha kutekelezwa kwa mfumo wa rajisi ya namba za utambulisho wa vifaa vya mawasiliano vya mkononi. 1.2.   Mfumo huu wa kielektroniki ulizinduliwa rasmi tarehe 17 Desemba 2015 na unahifadhi kumbukumbu za namba tambulishi za vifaa vya mawasiliano vya mkononi  (IMEI) kwa lengo la kufuatilia namba tambulishi za vifaa vinavyoibiwa, kuharibika, kupotea au ambavyo havikidhi viwango (bandia) vya matumizi katika soko la mawasiliano. Namba tambulishi za vifaa vyote vya mawasiliano vya mkononi ambavyo vimeibiwa, vimeharibika, kupotea au visivyokidhi viwango vya matumizi katika soko la mawasiliano havitaruhusiwa kuunganishwa kwenye mitandao ya watoa huduma ifikapo kesho tarehe...