Skip to main content

Idadi ya vifo yaongezeka kutokana na shambulizi la mabomu Uturuki

Mtu aliyejeruhiwa akiwa katika gari la kubeba wagonjwa katika uwanja wa ndege wa Ataturk
Mwandishi wa VOA Dorian Jones huko Instanbul amesema mlipuaji mmoja wa mabomu alijilipua nje ya eneo la kupokea wageni wa kimataifa kwenye uwanja huo wa ndege eneo hilo kwa kawaida hujaa watu wakingoja usafiri.
Waziri mkuu wa Uturuki Binali Yildrim ametoa wito wa umoja wa kitaifa mapema Jumatano asubuhi ikiwa nchi yake inakumbana na ongezeko la vifo kutokana na shambulizi la kujitoa muhanga liliouwa watu 39 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Atartuk -Instanbul huko Uturuki.
Yildrim akiwa na mawaziri wake amesema idadi hiyo ya waliofariki ni pamoja na walipua mabomu wa kujitoa muhanga watatu ambao waliwasili na gari aina ya Taxi Jumanne usiku katika uwanja wa ndege ulio na shughuli nyingi na kufyatua risasi kwa kutumia bunduki rashasha na kupiga risasi watu tofauti waliokuwa uwanjani hapo kabla ya kulipua mabomu wakati polisi wakikaribia.
Alisema wegi waliuwawa “wengine wako katika hali mbaya azaidi. Maafisa awali walitoa idadi ya waliojeriuhiwa kufikia 60.
Mwandishi wa VOA Dorian Jones huko Instanbul amesema mlipuaji mmoja wa mabomu alijilipua nje ya eneo la kupokea wageni wa kimataifa kwenye uwanja huo wa ndege eneo hilo kwa kawaida hujaa watu wakingoja usafiri. Washambuliaji wengine wanaaminika walijaribu kuingia uwanjani hapo ambao unalindwa na polisi wenye silaha nyingi na mashine za X-ray.
Ataturk ni uwanja mkubwa wa usafiri wa kimataifa wa ndege.
Ndege zote zilisimamishwa baada ya shambulio hilo lakini waziri mkuu anasema operesheni zimerudi katika hali ya kawaida ilipofika Jumatano asubuhi.
Jumatatu wizara ya mambo ya nje ya Martekjani ilitoa onbyo juu ya wamarekani wanaosafiri kwenda Uturuki

Comments

Popular posts from this blog

MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2015 YOTE HAYA HAPA

Angalia yote hapa NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2015 EXAMINATION RESULT ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA KILIMANJARO LINDI MARA MBEYA MOROGORO MTWARA MWANZA PWANI RUKWA RUVUMA SHINYANGA SINGIDA TABORA TANGA MANYARA GEITA KATAVI NJOMBE SIMIYU   

HUYU NDIE MWANAUME"[SHOGA] MWENYE MAKALIO MAKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI,KAAMUA KUPOST HIZI PICHA INSTAGRAM.

Kutana na mwanaume mwenye makalio makubwa kama mwanamke.Kwa jina anaitwa Micah,ni mwanaume ambaye hipsi na makalio yake zinazidi hata zile za wanawake huwezi kuamini hebu tazama hapa utakubali tu mwenyewe.

Matokeo ya kidato cha pili mwaka 2015: Zanzibar

MATOKEO YA MITIHANI YA KIDATO CHA PILI KWA MWAKA 2015 KIWILAYA MJINI MAGHARIBI KUSINI UNGUJA KATI KASKAZINI "A" KASKAZINI "B" MKOANI CHAKE CHAKE WETE MICHEWENI SKULI ZA BINAFSI TANBIHI: KWA UFAFANUZI WA SUALA LOLOTE LINALOHUSU MATOKEO YA MITIHANI TAFADHALI WASILIANA NA OFISI ZA BARAZA LA MITIHANI ZANZIBAR UNGUJA NA PEMBA - AHSANTENI. Source:    Ministry of Education and Vocational Training - Zanzibar Angalia Matikeo ya kidato cha pili bara hapa chini Posted by Maarifa & FIKRA Yakinifu on  Friday, January 15, 2016