Skip to main content

Posts

Showing posts with the label Mahaba

His 9 Pleasure Triggers

As you know, the male body is definitely a hotbed of feel-good zones. But now experts are saying there are nine special, cream-of-the-crop spots that do double duty when it comes to sexual gratification. We're talking about passion points hiding in plain sight that even he may not be clued in to. Touching and teasing them the right way will turn on all of his senses and make him feel so good, he'll think he's gone to pleasure heaven. "These are places on his body that are literal hot spots, loaded with supersensitive nerve endings that instantly rev him up when stimulated," explains Patti Britton, PhD, Los Angeles-based clinical sexologist and author of the The Complete Idiot's Guide to Sensual Massage. Here, check out our guide to those nine naughty triggers, as well as the specific lick, squeeze and stroke technique for each that will send him into orgasmic overdrive. The Outside of His Lower Lip The male mouth is an obvious moan zone. But zeroing in on tha...

How to Make Someone Fall in Love with You

Press bellow to Download full Videos Press bellow to download Full Video

ILA TUACHENI UTANI JAMANI>>>WATOTO WA UGANDA WAKALI TENA WAPO NATURAL HEBU WAONE WAKIWA BEACH WANAPUNGA UPEPO>>HAKIKA UTAWASAHAU HAWA WA BONGO>>

TAZAMA VIDEO MATATA YA KUVUTA HISIA KWA KIDUME YEYOTE, NI YA VIDEO QUEEN CORAZON

Cheki video hapa chini 

DARASA LA WAKUBWA..!MAMBO YA KUMFANYIA MSICHANA ILI UWEZE KUMTEKA ASIKUACHE HATA KAMA HUJAMTONGOZA

Habari yako ndugu msomaji? Natumaini u mzima na mwenye afya njema. 1. KILA siku usisahau kumsifia kwa kumwambia ni kiasi gani alivyo mzuri. Kumbuka kila msichana anapenda kusifiwa hivyo unapomuambia yeye ni mzuri anaona una mthamini kuliko msichana yeyote awaye. 2. Wakati wowote ukipata nafasi muandikie barua au msg kwenye simu mueleze hisia zako kiasi gani unampenda. Kumbuka wasichana hupenda kusikia zaidi kutoka kwa wapenzi wao ni kiasi gani wanapendwa. Haitakiwi iwe tu katika kipindi cha siku ya wapendanao ndio umuoneshe kuwa unampenda. Muoneshe msichana ni kiasi gani yeye ni muhimu sana kwako. 3. Busu la ghafla na kumshika mkono wakati mkitembea pamoja itamfanya yeye kujisikia raha zaidi. Na wakati mwingine msuprise kwa kumtembelea mara kwa mara hi humfanya akuone wewe ni mtu muhimu pale usipokuwa naye karibu na kumfanya kukuhitaji zaidi ukiwa naye mbali   4. Tambua mahitaji yake. Uwe msaada kwake kipindi ambacho mpenzi wako amekasirika kuwa pale kwa ajili yake na uk...

Ukiwa chumbani na mwandani wako, hebu mpe mambo haya.....

Si siri, mapenzi ni hatua ambayo kila mtu hutamani kuipitia. Na leo napenda nizungumzie faragha, yaani sehemu ambayo mnaweza kupeana raha za dunia bila tabu. Kabla ya kuwa faragha nadhani mlipeana miadi mpaka kukutana kwenu faragha, sasa basi unapokwesnda katika makutano yenu ya kuliwazana, unatakiwa uwe umejiandaa vya kutosho. Sina maana ya kubeba pesa kwa ajili ya mpenzio,maana kuna wasichana wengine bwana bila pesa hawajapeana ma-vitu. Unaweza kujianda kuanzia mavazi, mwili na urembo hasa kwa wasichana. Nikizungumzia mavazi, namaanisha kuanzia nguo za ndani, kuwepo safi nguo za ndani hupendeza na kumvutia mwandani wako, sio unaenda kwa mwandani wako huku umevaa nguo ya ndani karibu wiki. Haipendezi hata kidogo na utaanza kumboa mwenzio. Hakikisha nguo zako safi na zitamvutia zaidi, pia nguo laini na nyepesi humfanya aweze kukupapasa atakavyo kwani utakapovaa nguo ya kubana ama nzito inaweza kumnyima uhuru wakati mkiwa katika mwanzo wa faragha yenu. Wanaume wengi wamekuwa wakiudh...