Timu ya taifa ya Uruguay imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya
Jamaica katika mchezo wa mashindano ya Copa America yanayoendelea huko
nchini Chile.
Bao hilo pekee la Uruguay limefungwa na mchezaji Cristian Rodriguez katika dakika ya 52.
Kwa matokeo hayo Uruguay inaongoza kundi hilo ambalo lina timu za Paraguay na Argentina.
Hizi ni baadhi ya picha za mtanange huo.

Vikosi vya timu hizo vilikuwa ni:
Uruguay: Muslera, Maxi Pereira, Gimenez, Godin, Alvaro Pereira, Sanchez, Arevalo Rios, Lodeiro, Cristian Rodriguez, Rolan, Cavani.
Subs : Munoz, Fucile, Hernandez, De Arrascaeta, Stuani, Gaston Silva, Ricardo Pereira, Corujo, Coates, Gonzalez, Jonathan Rodriguez, Martin Silva.
Jamaica: Kerr, Lawrence, Morgan, Mariappa, Hector, McCleary, McAnuff, Austin, Barnes, Dawkins, Mattocks.
Subs : Miller, Gordon, Laing, Brown, Parkes, Gray, Williams, Ottey, Watson, Grant, Taylor, Thompson.

Mlinda mlango wa Jamaica akishuhudia mpiara unavyotinga wavuni
Wachezaji wa timu ya Uruguay wakishangilia mara baada ya kupata mchezaji mwenzao kufunga bao
Wachezaji wa Uruguay wakishangilia kwa pamoja
mashabiki wa Uruguay wakitoa hamasa kwa wachezaji wao
Vikosi vya timu hizo vilikuwa ni:
Uruguay: Muslera, Maxi Pereira, Gimenez, Godin, Alvaro Pereira, Sanchez, Arevalo Rios, Lodeiro, Cristian Rodriguez, Rolan, Cavani.
Subs : Munoz, Fucile, Hernandez, De Arrascaeta, Stuani, Gaston Silva, Ricardo Pereira, Corujo, Coates, Gonzalez, Jonathan Rodriguez, Martin Silva.
Jamaica: Kerr, Lawrence, Morgan, Mariappa, Hector, McCleary, McAnuff, Austin, Barnes, Dawkins, Mattocks.
Subs : Miller, Gordon, Laing, Brown, Parkes, Gray, Williams, Ottey, Watson, Grant, Taylor, Thompson.

Comments
Post a Comment