Skip to main content

Posts

New Video: Diamond Ft Mr Flavour-Nana>> Ni nzuri sana angalia hapa

Angalia Hapa

SOMA ALICHO KIANDIKA LEO KAJALA KUHUSU WEMA NA PETITMAN>>>>HAKIKA UTAHUZUNIKA HATA WEWE

Binadamu tuliumbwa kuishi katika misingi ya ubinadamu na sio unyama kama waishivyo wanyama wa porini leo naomba kusema kutoka moyoni mwangu.. Najua kabisa nina wazazi wangu ndugu zangu na zaidi sana Mungu wangu ila kuna watu mpaka nakufa kamwe sintowasahau katika kuta za moyo wangu katika kipindi changu kigumu nilichopitia mlikuwa nembo namboni kubwa katika kuokoa maisha yangu... Napenda kusema kuwa hata kwa haya yote tunayopitia bado ni madogo sana kuficha thamani yenu mliyoijenga juu yangu. Nakumbuka sana mlipojitoa kwa ajili yangu mlipojinyima kwa ajili yangu mlipopigana kwa ajili yangu,mlivyofedheheka kwa ajili yangu yote hayo nayakumbuka na namshukuruu mungu kwani naona kabisa mliletwa duniani kwa sababu nyingi na moja ya sababu ilikuwa kuniokoa katika kipindi kigumu katika maisha yangu. Leo hii tarehe 25.5.2015 napenda kusema kwa umma na zaidi kwa Mungu wangu kuwa nawathamini nawapenda na nashukuruuu sana kwa yote mliyofanya juu yangu. Nawaombea kwa Mung...

DIAMOND AKUMBWA NA KASHFA YA MWAKA KUHUSU MAVAZI ANAYOYAVAA,KISA AMEIGA KUTOKA NJE

Devontage Roper claimed about East African musician Diamond Platinumz steal his design and wear its without reframe the designer logo but latter Devontage shared the credibility post to diamond platinum for showing appreciation for his artwork and wear his bland although fake one!!.  Devontae Roper clients are Chriss brown, Future, French montana, Neyo and many more international musician!!

TANGAZO MUHIMU KWA VIJANA WA KIDATO CHA SITA KWA MUJIBU WA SHERIA 2015. JKT

MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA ANA WATANGAZIA VIJANA IDADI 20000 WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2015 KUHUDHURIA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA. WANATAKIWA KURIPOTI KWENYE VIKOSI VYA MAFUNZO WALIVYOPANGIWA KUANZIA TAREHE 08 JUNI 2015. MAFUNZO YATAANZA RASMI TAREHE 15 JUNI 2015 NA KUMALIZIKA TAREHE 15 SEPTEMBA 2015. YAFUATAYO YAZINGATIWE VIJANA WANAOTAKIWA KUJIUNGA WAWE RAIA WA TANZANIA WARIPOTI WAKIWA NA VYETI HALISI VYA KUZALIWA NA KUMALIZA KIDATO CHA SITA (LEAVING CERTIFICATE). VIJANA WENYE ULEMAVU UNAOONEKANA WARIPOTI KWENYE KIKOSI CHA RUVU. WALE WENYE MATATIZO AMBAYO YATAPELEKEA KUTOKUHUDHURIA MAFUNZO YA JKT KWA SASA WAANDIKE BARUA YA MAOMBI YA KUAHIRISHA MAFUNZO KWA MKUU WA JKT WAKIAMBATISHA VIELELEZO VYA TATIZO ALILONALO. MWAWASILIANO YOTE YAFANYIKE KUTUMIA ANUANI IFUATAYO. MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA MAKAO MAKUU YA JESHI LA KUJENGA TAIFA S.L.P 1694 DAR ES SALAAM. BONYEZA HAPA KUONA VIKOSI WALIVYOPANGIWA VIJANA KWA MUJIBU WA SHERIA 2015 TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA M...

His 9 Pleasure Triggers

As you know, the male body is definitely a hotbed of feel-good zones. But now experts are saying there are nine special, cream-of-the-crop spots that do double duty when it comes to sexual gratification. We're talking about passion points hiding in plain sight that even he may not be clued in to. Touching and teasing them the right way will turn on all of his senses and make him feel so good, he'll think he's gone to pleasure heaven. "These are places on his body that are literal hot spots, loaded with supersensitive nerve endings that instantly rev him up when stimulated," explains Patti Britton, PhD, Los Angeles-based clinical sexologist and author of the The Complete Idiot's Guide to Sensual Massage. Here, check out our guide to those nine naughty triggers, as well as the specific lick, squeeze and stroke technique for each that will send him into orgasmic overdrive. The Outside of His Lower Lip The male mouth is an obvious moan zone. But zeroing in on tha...

ANGALIA MAJINA Yote YA WANAFUNZI KIDATO CHA 6 WALIOCHAGULIWA ,JKT KWA MUJIBU 2015 Kupitia simu yako ya Mkononi

Yafuatayo ni majina ya wanafunzi waliochaguliwa jkt kwa mujibu wa sheria 2015,  DOWNLOAD KWA URAHISI -PDF   Kupitia simu yako ya mkononi    BOFYA LINKI ZIFUATAZO ZIMERAHISISHWA  BUROMBOLA - KIGOMA RWAMKOMA - MUSOMA MSANGE - TABORA KANEMBWA - KIGOMA  RUVU - PWANI  MGAMBO  - TANGA  MARAMBA - TANGA MAFINGA - IRINGA   MLALE - SONGEA    MTABILA - KIGOMA MAKUTOPORA - DODOMA  KWA MAJINA YA JUMLA NA TAARIFA BOFYA - HAPA    Chanzo: JKT ANGALIA MAJINA Yote YA WANAFUNZI KIDATO CHA 6 WALIOCHAGULIWA ,JKT KWA MUJIBU 2015 Kupitia simu yako ya Mkononi... http://t.co/8FLUV3yZo5 — Antagon1 (@Antagon1) May 24, 2015

How to Make Someone Fall in Love with You

Press bellow to Download full Videos Press bellow to download Full Video