Skip to main content

Posts

Showing posts from December, 2014

Arsenal yamlenga Carvalho na Sissoko

Kiungo wa kati wa Sporting Lisbon William Carvalho anayelengwa na Arsenal. Arsenal wanadaiwa kumfukuzia William Carvalho. Kiungo huyo wa kati wa Sporting Lisbon mwenye umri wa miaka 22 anaweza kucheza katika safu ya kati ya ulinzi na amekuwa akilengwa na Gunners kwa mda mrefu licha ya kuwa na bei ghali. Kilabu ya Sporting Lisbon inataka kitita cha pauni millioni 30 ,lakini kulingana na gazeti la daily mail nchini Uingereza kocha wa Arsenal Arsene Wenger anapanga kulipa pauni 25.5. Vilevile Wenger ameripotiwa kutaka kumchukua kiungo wa kati wa Newcastle Moussa Sissoko kwa kitita cha pauni millioni 9. Moussa Sissoko wa Newcastle Wakati huohuo meneja wa Manchester City Manuel Pelegrini anatarajiwa kumununua mshambuliaji wa Swansea Wilfried Bonny ili kuchukua mahala pake Sergio Aguero ambaye ana jereha la mguu. Gazeti la Daily Telegraph limeripoti kuwa Manchester City pia inajiandaa kumnunua ...

Mtoto albino atekwa nyara Tanzania

Polisi nchini Tanzania wanasema kuwa wamewakamata watu saba kutokana na kutekwa nyara kwa msichana mmoja albino. Msichana huyo wa miaka 4, Pendo Emmanuelle Nundi alitekwa siku ya jumamosi kutoka nyumbani kwao katika jimbo la kazkazini la Mwanza. Msemaji wa Polisi Valentino Mlowola amesema kuwa babaake mtoto huyo ni miongoni mwa wanaochunguzwa ,ili kujaribu kujua iwapo bado yuko hai. Utafiti wa Umoja wa Mataifa unasema kuwa takriban albino 74 wameuawa nchini Tanzania ambapo vipande vya miili yao huuzwa kama vivutio vya bahati kwa takriban dola mia sita. >>BBC

Massachusetts woman allegedly scrawls '666' on church, tries to attack cop with stolen crucifix

Amarellis Cermeno allegedly tried to attack a Haverhill cop before she was busted A Massachusetts woman scrawled the Devil's number "666" multiple times on a church building before trying to attack a cop with a stolen metal crucifix, police said. Amarellis Cermeno allegedly used black marker pen to ink the digits associated with the anti-Christ on La Iglesia Biblica Bautista in Haverhill on Tuesday, reports MyFoxBoston. Witnesses called cops, who found the 54-year-old walking down a nearby street with an American flag on her suitcase. They tried to detain the suspect. But she is then accused of trying to strike Detective Sgt. Dana Burrill with the heavy cross. Officers were able to subdue Cermeno and she was arrested and charged with assault with a dangerous weapon and malicious destruction of property over $250. She also faces charges of disorderly conduct, destruction of a place of worship and resisting arrest. It later emerged that the crucifix had been stolen fr...

DAEMON Tools Ultra 3 With Crack

DAEMON Tools Ultra 3 With Crack DAEMON Tools Ultra 3 : is used to operate and manage the image files from a wide range of functions with a simple, user friendly has been formed. With this program you are able to insert image files to different formats MDX, MDS / MDF, ISO , CCD, CDI, BIN, NRG, ISZ, etc. in a virtual drive that is created by the program.   How To Register Crack Or Activate DAEMON Tools Ultra 3 ? [Do Not Update During Or After Installation Otherwise Crack Will Not Work] Install the program (Using Provided Setup Only). During the installation, choose to install it as “Trial mode”. When done installing, DO NOT RUN it! [exit / close if running] Copy the Crack.exe from Crack folder. Paste into installed program directory folder >> C:\Program Files\DAEMON Tools Ultra Run Crack.EXE file >> Click Crack Now (Button) >> Run the program & Enjoy:) Download via              ...

DAEMON Tools Ultra 3 With Crack

DAEMON Tools Ultra 3 With Crack DAEMON Tools Ultra 3 : is used to operate and manage the image files from a wide range of functions with a simple, user friendly has been formed. With this program you are able to insert image files to different formats MDX, MDS / MDF, ISO , CCD, CDI, BIN, NRG, ISZ, etc. in a virtual drive that is created by the program.   How To Register Crack Or Activate DAEMON Tools Ultra 3 ? [Do Not Update During Or After Installation Otherwise Crack Will Not Work] Install the program (Using Provided Setup Only). During the installation, choose to install it as “Trial mode”. When done installing, DO NOT RUN it! [exit / close if running] Copy the Crack.exe from Crack folder. Paste into installed program directory folder >> C:\Program Files\DAEMON Tools Ultra Run Crack.EXE file >> Click Crack Now (Button) >> Run the program & Enjoy:) Download via         ...

Shi'ite militias expand influence, redraw map in central Iraq

Fighters from the Shi'ite Kata'ib Imam Ali (Imam Ali Brigades) militia search a house after taking control of a village from Islamist State militants, on the outskirts of Dhuluiya, north of Baghdad December 29, 2014. REUTERS/Stringer                  BAGHDAD (Reuters) - Behind black gates and high walls, Iraqi national security agents watch 200 women and children. Boys and girls play in the yard and then dart inside their trailers, located in a former U.S. military camp and onetime headquarters for Saddam Hussein’s officials in Babel province’s capital Hilla. The women and children are unwilling guests, rounded up as they fled with their male relatives in October from Jurf al-Sakhr, a bastion of Islamic State, during a Shi'ite militia and military operation to clear the farming community. Once they were arrested, security forces separated out the men, accusing them of being Islamic State fighters. They have not be...

Teknlojia: Gari linaloweza kujiegesha kwa kutumia saa>>>>>> bofya kusoma zaidi

Kampuni ya BMW imezindua kifaa ambacho kinawezesha gari lako kujiegesha lenyewe Hakuna kitu kibaya kama kusahau ulikoegesha gari lako katika jengo la kuegeshea magari lenye goraf nyingi. Lakini hivi karibuni hautahihajika kupanda gorofa kutafuta gari lako kwani kampuni ya kutengeza magari ya BMW, imetangaza kuzindia kifuaa ambacho kinaweza kuyawezesha magari ya kampuni hio kujiegesha yenyewe kwa kubonyeza tu kifaa hicho. Hata hivyo dereva wa gari hilo atalazimika kuvaa saa ya Smartphone mkononi ambayo ataibonyeza na kuiamrisha kwa sauti gari hilo kwenda kujiegesha. Gari hili linaweza kujiegesha lenyewe kwa kutumia saa ya mkononi ambayo inabonyezwa na dereva Gari hilo kwa amri ya dereva litatoka liliko baada ya dereva kushuka na kwenda lenyewe kwa kuhesabu muda utakalichukua kwenda kutafuta sehemu ya kujiegesha. Tawi la kampuni ya BMW mjini Munich, Ujerumani limez...

Azimio kuhusu Palestina lakataliwa

Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa  . Baraza la Usalama la Umoja wa mataifa limekataa azimio lililoandaliwa na Palestina ambalo limewasilishwa na Jordan linalopendekeza kusitishwa kwa mpango wa Israel wa kuyakalia maeneo ya Palestina kwa miaka miaka mitatu. Jordan iliwasilisha azimio hilo baada ya kukubaliwa na nchi 22 za kiarabu ikiwemo mamlaka ya Palestina. Kura tisa zilihitajika ili kupitisha azimio hilo lakini azimio hilo lilipigiwa kura nane pekee. Nchi mbili zilipiga kura ya hapana kupinga azimio hilo ambazo ni Australia na Marekani zilizokataa mpango huo wa mwisho na kusema hautasaidia katika masuala ya usalama wa Israel. Nchi tano hazikupiga kura ambazo ni Uingereza, Lithuania, Nigeria, Jamuhuri ya Korea na Rwanda, huku Urusi, China, Ufaransa, Argentina, Chad, Chile, Jordan na Luxembourg zikilipigia kura ya ndio azimio hilo

‘It’s Haunted Me All My Life’ – Nicki Minaj Opens Up about her Heartbreaking Teenage Abortion

To the world she’s a fiery rap superstar at the top of her game. But Nicki Minaj has revealed a secret heartache that has hung over her like a shadow for years. The 32-year-old has spoken openly for the first time about having an abortion when she was a teenager in a candid new cover interview with America’s Rolling Stone magazine. Detailing the horror of making the decision to terminate a pregnancy at such a young age, Dailymail reports that Nicki said: ‘I thought I was going to die. I was a teenager. It was the hardest thing I’d ever gone through. It’s haunted me all my life. It’d be contradictory if I said I wasn’t pro-choice. I wasn’t ready. I didn’t have anything to offer a child.’ The star first hinted at the subject in her 2008 track Autobiography, in which she referred to herself as ‘mommy’. The topic returned to the spotlight earlier this month when she showed off her vulnerable side in new track All Things Go. Referring to a child who would have been 16, t...

Sheria mpya ya usalama Kenya

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, ametia sahihi sheria mpya ya kukabiliana na maswala ya usalama nchini, ambapo maafisa wa usalama watasikiliza mawasiliano ya simu ya watu hata bila kuwaarifu. Washukiwa wa uhalifu pia wataweza kuzuiliwa hadi mwaka mmoja bila kufanyiwa mashtaka yo yote. Rais Kenyatta, ambaye anasema sheria hiyo inahitajika kukabiliana na kundi la kigaidi la Al Shabaab, alisisitiza kuwa haikiuki haki za kibinadamu za mtu ye yote.

U.S. transfers 5 more Guantanamo detainees; 127 remain

President Barack Obama signed an executive order on January 22, 2009, to close the detention facilities at Guantanamo Bay, Cuba, within a year. Nearly six years later, the prison for terrorism suspects remains open. Click through for a look inside the controversial facility. Here, President George W. Bush's official picture is replaced by Obama's in the lobby of the headquarters of the U.S. naval base at Guantanamo on January 20, 2009, the day the latter was sworn in as president. The U.S. government has transferred five more Guantanamo Bay detainees, shrinking the number to 127. The detainees, two Yemeni and three Tunisians, were repatriated to Kazakhstan, after the Guantanamo Review Task Force said it determined the men did not pose security threats. The Defense Department identified the men as Asim Thabit Abdullah Al-Khalaqi, Muhammad Ali Husayn Khanayna, Sabri Muhammad Ibrahim Al Qurashi, Adel Al-Hakeemy, and Abdullah Bin Ali Al-Lufti.   Graham on North Korea and Guantanam...

Hii ndio Ratiba kamili ya AFCON 2015

  Ratiba Kamili ya AFCON 2015, michezo ambayo itaanza tarehe 17 mwezi wa Kwanza 2015. Jumamosi 17 Januari 201 5     Equatorial Guinea v Congo Estadio de Bata 18:00   Gabon v Burkina Faso Estadio de Bata 21:00   Jumapili18 Januari2015 Zambia v Congo DR Nuevo Estadio de Ebebiyín 18:00   Tunisia v Cape Verde Islands Nuevo Estadio de Ebebiyín 21:00   Monday 19 Januari2015 Ghana v Senegal Estadio de Mongomo 18:00   Algeria v South Africa Estadio de Mongomo 21:00   Tuesday 20 Januari2015 Côte d'Ivoire v Guinea Nuevo Estadio de Malabo 18:00   Mali v Cameroon Nuevo Estadio de Malabo 21:00   Wednesday 21 Januari2015 Burkina Faso v Equatorial Guinea Estadio de Bata 18:00   Congo v Gabon Estadio de Bata 21:00   Thursday 22 Januari2015 Zambia v Tunisia Nuevo Estadio de Ebebiyín 18:00   Cape Verde Islands v Congo DR Nuevo Estadio de Ebebiyín 21:00   Friday 23 Januari2015 Ghana v Algeria Estadio de Mongomo 18:00 ...

Magazetini leo jumatano 31/12/2014

. Kama kawaida millardayo.com i nakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headlines mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo . . . . .   . . .   . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .