Nini kitatokea pale ambapo wakali wawili kama Iyanya na Don Jazzy kutoka Nigeria watashirikiana na kutoa single moja? ukweli itakua ni zawadi ya aina yake kwa mashabiki wao.
Hapa nakusogezea single yao mpya inayoitwa ‘Gift’ waliyoirekodi katika studio ya Mavin Records.
Sikiliza hapa
Comments
Post a Comment