Skip to main content

AMTOROKA BWANA’KE AJIACHIA NA MIDUME 5



 
BINTI aliyefahamika kwa jina moja la Ashura, anayedaiwa kuwa ni mke wa mtu, hivi karibuni alimtoroka bwana’ke na kuonekana akijiachia hovyo na wanaume watano tofauti katika Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni jijini Dar es Salaam kulipokuwa na onyesho la Bendi ya Taarabu ya Mashauzi Classic.
Ashura, anayedaiwa kuwa ni mke wa mtu akisakata ngoma.

Akionekana kuwa ‘vizuri’ kichwani, kwa kiburudisho alichopata usiku mnene, binti huyo alionyesha umahiri mkubwa wa kukata mauno kiasi cha kuwavutia wanaume ambao kila mmoja alitaka kuwa naye karibu kiasi cha kumfanya kuwa bize kwa kila wimbo kulazimika kucheza na wanaume tofauti.
Baadhi ya wanawake waliokuwa na waume zao jukwaani, walionyesha kukasirishwa na mwenzao huyo, kwani licha ya kuwa hodari wa kucheza, pia aliwaruhusu wanaume kumkumbatia kadiri walivyopenda, kiasi cha kusababisha wakware wengi kuwa na hamu ya kushiriki naye.
Hata hivyo baadhi ya mashabiki wa bendi hiyo walisema mrembo huyo alitia aibu kwani kuna wakati alicheza hadi nguo zake za ndani zikawa zinaonekana.
“Hii ni aibu jamani, mke wa mtu kucheza namna hii mbaya zaidi hadi nguo inamvuka yeye hata habari hana,” alisema mmoja wa mashabiki.Hadi mwandishi wetu anaondoka eneo hilo, mrembo huyo alikuwa akiendelea kufanya mavituz yake jukwaani.

Comments

Popular posts from this blog

HUYU NDIE MWANAUME"[SHOGA] MWENYE MAKALIO MAKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI,KAAMUA KUPOST HIZI PICHA INSTAGRAM.

Kutana na mwanaume mwenye makalio makubwa kama mwanamke.Kwa jina anaitwa Micah,ni mwanaume ambaye hipsi na makalio yake zinazidi hata zile za wanawake huwezi kuamini hebu tazama hapa utakubali tu mwenyewe.

MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2015 YOTE HAYA HAPA

Angalia yote hapa NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2015 EXAMINATION RESULT ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA KILIMANJARO LINDI MARA MBEYA MOROGORO MTWARA MWANZA PWANI RUKWA RUVUMA SHINYANGA SINGIDA TABORA TANGA MANYARA GEITA KATAVI NJOMBE SIMIYU   

Fasihi simulizi na Chimbuko la Riwaya

                                                                    Fasihi simulizi na Andishi HISTORIA YA FASIHI SIMULIZI YA KIAFRIKA KWA MTAZAMO WA NADHARI ZA UTANDAWAZI, UTAIFA NA HULUTISHI . Utangulizi Fasihi simulizi kwa mujibu wa Mlokozi (1996), ni fasihi inayotungwa au kubuniwa kichwani na kuwasilishwa kwa hadhira kwa njia ya mdomo na vitendo bila kutumia maandishi. Hivyo fasihi simulizi inafungamana   na muktadha au mazingira fulani ya kijamii na kutawaliwa na muingiliano wa mambo kama vile Fanani, Hadhira, Fani inayotendwa, Tukio, Mahali pamoja na Wakati wa utendaji.             Balisidya (1983) anasema fasihi simulizi ni aina ya fasihi ambayo hutumia mdomo katika kuumbwa, kuwasilishwa na kusambazwa kwa wasikilizaji na watumiaji wake. Mt...