Skip to main content

New Video: Joh Makini- Nusu Nusu

Rapper wa Weusi, Joh Makini Ijumaa iliyopita (April 24) aliachia video ya wimbo wake mpya ‘Nusu Nusu’ iliyofanywa Afrika Kusini ilitambulishwa ‘exclusively’ kwenye kituo cha kimataifa MTV Base na mapokeo yake yamekuwa ni mazuri kutoka kwa mashabiki mbalimbali ambao wamesifia wimbo na video.


Angalia hapa

                                                           Download hapa

Comments