Skip to main content

Professor Jay asema siasa haiwezi kumtenganisha na muziki, aizungumzia project mpya ya muziki ‘The Icon'


Rapper mkongwe Joseph Haule aka Professor Jay amesema siasa haiwezi kumtenganisha na muziki, na pia amejipanga kuja na project mpya ya muziki iitwayo ‘The Icon’.

Professor ameiambia Mpekuzi kuwa, hata kama akipata nafasi ya ubunge atahakikisha mashabiki wake wanapata muziki kama kawaida.
 
“Nitaendelea kuwatumikia mashabiki wa muziki wangu kama kawaida, najua sasa hivi nadeni kubwa kwenye muziki, lakini hivi karibuni nitaachia kazi mpya kwa sababu hata huku nilikoingia nimeingia kutokana na muziki, kwahiyo hata nikiingia bungeni bado kazi nitaendelea kufanya, najua mashabiki wangu wanategemea muziki wetu kama chakula cha ubongo kwahiyo mimi bado nipo kwajili ya mashiki wangu,” alisema Professor.
 
Pia Professor Jay amejipanga kuachia project yake mpya ya muziki ‘The I Con’ ambayo itazungumzia maisha ya muziki wake ambayo itawashirikisha wasanii wengine.
 
“Hii project itamuonyesha Professor Jay alikotoka mpaka alipofikia, kwa sababu naamini Professor Jay ni role model wa wasanii wengi na vijana wengi wa Tanzania, pia nimekuwa mfano bora kwa wasanii wenzangu na vijana wengi wa Tanzinia, nimesabisha vijana wengi kuingia kwenye muziki kutokana na harakati zangu, hata vijana wengi ukiwauliza nani amekufanya ukaingia kwenye muziki utaambiwa ni Professor Jay, especial wanaofanya Hip Hop na vitu kama hivyo. 
 
Pia mafanikio yangu yamewafanya vijana wengi kuingia kwenye muziki hata wasanii wa kuimba, pia wazazi wengi nimejaribu kuwaaminisha kwamba muziki siyo uhuni na kuamua kuupenda, kwaiyo hizo harakati zangu zote kwa umoja wake utaziona kwenye The Icon, ndani ya project hiyo utakuta documentary yangu, albam na mambo mengi sana, kwahiyo hii yote inakuja ndani ya mwaka huu wadau na mashabiki wa muziki wangu wakae mkao wa kula,” alimalizia Professor Jay.

Comments

Popular posts from this blog

MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2015 YOTE HAYA HAPA

Angalia yote hapa NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2015 EXAMINATION RESULT ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA KILIMANJARO LINDI MARA MBEYA MOROGORO MTWARA MWANZA PWANI RUKWA RUVUMA SHINYANGA SINGIDA TABORA TANGA MANYARA GEITA KATAVI NJOMBE SIMIYU   

HUYU NDIE MWANAUME"[SHOGA] MWENYE MAKALIO MAKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI,KAAMUA KUPOST HIZI PICHA INSTAGRAM.

Kutana na mwanaume mwenye makalio makubwa kama mwanamke.Kwa jina anaitwa Micah,ni mwanaume ambaye hipsi na makalio yake zinazidi hata zile za wanawake huwezi kuamini hebu tazama hapa utakubali tu mwenyewe.

REALD MADRID YATOKA SARE NA VALENCIA,RONALDO AKOSA PENATI>> Angalia hapa

Cristiano Ronaldo's face tells the story as Real Madrid fail to beat Valencia and leave themselves a near impossible task to catch Barcelona Valencia forward Paco Alcacer celebrates scoring the 19th-minute opener for the underdogs against Real Madrid  Valencia players celebrate their second goal after Javi Fuego heads beyond Iker Casillas from a free-kick Valencia form a huddle as they regroup after taking a 2-0 lead against the side pushing to catch Barcelona in La Liga Ronaldo holds his head in his hand after Real concede their second goal of the match on Saturday evening at the Bernabeu Real Madrid's Javier Hernandez (right) shows his disbelief after missing a golden opportunity to score German midfielder Toni Kroos (right) is upended by Valencia midfielder Andre Gomes during a physical first half Ronaldo signals as Real prepare to restart play after conceded the second goal of the match  Ronaldo steps up for the penalty and a chance to peg one back for his side at 2-0 do...