. Aliyekuwa mwenyekiti wa Bongo Movie Unit, Steve Nyerere ameingia kwenye list ya wagombea ubunge mwaka 2015 Kwenye interview na millardayo.com Steve amesema ‘ Kwanza ninataka kuwahakikishia watanzania sijakurupuka, nimekuwa mwanachama wa chama cha Mapinduzi umoja wa vijana almost miaka 25 na sasa hivi nina miaka 29 naelekea 30 lakini vilevile nimekuwa kamanda wa vijana miaka 10 tawi la bwani kinondoni, nimekuwa muhamasishaji wa chama cha mapinduzi kitaifa kwa muda wa miaka 10′ ‘Sijakurupuka na wala sijatamkia sifa kwasababu labda nimeona mtu fulani amegombea, kinondoni kuna matatizo kadhaa nani anaweza kuyatetea hayo matatizo? nitakuwa mtetezi pamoja na matatizo ya wasanii wetu, kuhusu kazi zangu za filamu nitakuwa nafanya kama kawaida huku nikiwa natumikia kazi za Bungeni’ ATAACHA KUIGIZA?! Amejibu >>> ‘Kazi yangu ya sanaa sitoweza kuiacha nadhani naweza kuwa ndio Mbunge wa kwanza yuko ndani ya Bunge na bado yuko kw...