Skip to main content

LOWASSA APOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI SIMIYU, APATA WADHAMINI 5,000

 Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akiwapungia mkono wanachama wa Chama Cha Mpinduzi (CCM) na wananchi baada ya kupokea majina ya wanachama zaidi ya 5000 waliomdhani kugombea Urais mkoani Simiyu jana.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakicheza baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kukabidhiwa majina ya wanachama wa chama hicho zaidi ya 5000 waliomdhani kugombea Urais mkoani Simiyu. Leo  Lowassa  atakuwa  mkoani  Shinyanga  Kusaka  wadhamini.

Comments

Popular posts from this blog

HUYU NDIE MWANAUME"[SHOGA] MWENYE MAKALIO MAKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI,KAAMUA KUPOST HIZI PICHA INSTAGRAM.

Kutana na mwanaume mwenye makalio makubwa kama mwanamke.Kwa jina anaitwa Micah,ni mwanaume ambaye hipsi na makalio yake zinazidi hata zile za wanawake huwezi kuamini hebu tazama hapa utakubali tu mwenyewe.

MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2015 YOTE HAYA HAPA

Angalia yote hapa NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2015 EXAMINATION RESULT ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA KILIMANJARO LINDI MARA MBEYA MOROGORO MTWARA MWANZA PWANI RUKWA RUVUMA SHINYANGA SINGIDA TABORA TANGA MANYARA GEITA KATAVI NJOMBE SIMIYU   

New Video: Matunzo Zero Unit Ft.Young Killer – Furaha Yetu

Angalia hapa video mpya ya Matunzo zero unit wakimshirikisha Young Killer wimbo unaitwa ‘Furaha Yetu’ Angalia hapa  na  Download