Kitabu hiki kinakupa muongozo wa kuchagua vyuo. Ndani yake kuna vyuo vyote Tanzania, kozi zifundishwazo katika vyuo hivyo pamoja na kuonesha kozi zinazopewa kipaumbele katika kupewa mkopo. Kama umemaliza form six Au diploma na unataka kuendelea na chuo kikuu. Fanya Mambo yafuatayo hapo chini>>> BONYEZA HAPA KUANGALIA NA KUDOWNLOAD KITABU HIKI CHA TCU 2015/2016 Pia Angalia Matokeo ya kidato cha sita (ACSEE) HAPA 2015 BONYEZA HAPA kujiandikisha (application) chuo kikuu
Matukio, Habari za Uhakika