Kitabu hiki kinakupa muongozo wa kuchagua vyuo. Ndani yake kuna vyuo vyote Tanzania, kozi zifundishwazo katika vyuo hivyo pamoja na kuonesha kozi zinazopewa kipaumbele katika kupewa mkopo.
Kama umemaliza form six Au diploma na unataka kuendelea na chuo kikuu. Fanya Mambo yafuatayo hapo chini>>>
BONYEZA HAPA KUANGALIA NA KUDOWNLOAD KITABU HIKI CHA TCU
2015/2016
Pia Angalia Matokeo ya kidato cha sita (ACSEE) HAPA 2015
BONYEZA HAPA kujiandikisha (application) chuo kikuu
Comments
Post a Comment