Msanii wa Nigeria, Wizkid anatarajia kutoa burudani kwa mara ya kwanza kwa mashabiki wake Tanzania tarehe 31 mwezi huu wa kumi kwenye tamasha la ‘Wizkid in Dar’
Kampuni ya King solomon Entertainment ikishirikiana na East Africa Radio wametoa taarifa hiyo mapema leo walipokua wakifanya mahojiano na waandishi wa habari ambapo wamesema kuwa tamasha hilo litafanyika viwanja vya Leaders club.
Comments
Post a Comment