Skip to main content

Posts

Showing posts from January, 2016

New Video: Reekado Banks – Oluwa Ni jagu

Matokeo ya kidato cha pili mwaka 2015: Zanzibar

MATOKEO YA MITIHANI YA KIDATO CHA PILI KWA MWAKA 2015 KIWILAYA MJINI MAGHARIBI KUSINI UNGUJA KATI KASKAZINI "A" KASKAZINI "B" MKOANI CHAKE CHAKE WETE MICHEWENI SKULI ZA BINAFSI TANBIHI: KWA UFAFANUZI WA SUALA LOLOTE LINALOHUSU MATOKEO YA MITIHANI TAFADHALI WASILIANA NA OFISI ZA BARAZA LA MITIHANI ZANZIBAR UNGUJA NA PEMBA - AHSANTENI. Source:    Ministry of Education and Vocational Training - Zanzibar Angalia Matikeo ya kidato cha pili bara hapa chini Posted by Maarifa & FIKRA Yakinifu on  Friday, January 15, 2016

NECTA: Tazama matokeo yote ya Kidato cha pili mwaka 2015/2016

                                                                                        >>>BONYEZA HAPA KUANGALIA<<<<

Nuh Mziwanda: Sina mpango wa kufuta Tattoo ya shilole ila nimesikitika kwa sababu amefuta yangu.

Msanii Nuh Mziwanda amedai mbali ya kuachana na Shilole lakini hana mpango wa kufuta tattoo ya mrembo huyo. Nuh amesema amesikitishwa na kitendo cha Shilole kufuta tattoo yake mara tu baada ya kuachana, “Kiukweli nimesikitika sana hata kama tumeachana mimi mbona sijafuta tattoo zake na sina mpango wa kuzifuta kwa sasa”Alisema Nuh. Hata hivyo Shilole alipoulizwa kuhusiana na alichokisema Nuh alisema kuwa mbona Nuh aliwahi kuwapost mademu zake wapya mara tu baada ya kuachana. “Mimi nimewahi kufuta tattoo kwa sababu yeye alianza kuwapost mademu zake wapya Instagram baada ya kuachana” Alisema Shilole. Source: CloudsFm

CCM Wajibu Mapigo Zanzibar.......Wasema Uchaguzi Lazima Urudiwe

Muda mfupi baada ya Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad kutangaza kasoro na athari za kurudia Uchaguzi uliofutwa kinyume cha sheria na Jecha Salim Jecha, viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wametangaza kuwa uchaguzi  huo lazima urudiwe. Wakizungumza jana na vijana wa chama cha Mapinduzi katika viwanja vya Maisara waliokuwa wamekusanyika kwa ajili ya matembezi ya kuunga mkono Mapinduzi ya Zanzibar,viongozi wa juu wa chama hicho walisisitiza kuwa uchaguzi wa Zanzibar upo pale pale na utarudiwa kadiri tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) itakavyotangaza. Wa kwanza kutoa msimamo huo alikuwa ni Makamu wa pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi, aliyesema kuwa uchaguzi huo utarudiwa hata ikiwezekana vyama vyote vikijitoa CCM kitashiriki peke yake “Uchaguzi wa marudio upo pale pale, tunajua uchaguzi ulifutwa kihalali, mjitayarishe kwa uchaguzi wa marudio. CUF wamesema watatumia nguvu ya umma, tunawakaribisha na wataona matokeo yake”...

Shuga actress, ‘Sophie’ goes braless in birthday PHOTOS... Check out

Dorcas Shola Fapson turned 25 on Monday, January 6. Photos: Instagram... MTV Shuga actress, Dorcas Shola Fapson, was a year older yesterday, Monday, January 6.  The actress, who plays the role of ‘Sophie’ in the hit series, celebrated her new year with a party at Quilox on Sunday, and a sexy photo shoot.  See her photos below…...

Pam D Ft Mesen Selekta – Popo lipopo (Official Video)

Pam D Ft Mesen Selekta – Popo lipopo (Official Video)

Shilole Amtaja Mpenzi wake Mpya Mwanamuziki Kutoka Uganda, Adai ‘’Nuh Hanipendi"

Kwa sasa ni dhahiri kabisa penzi la Shilole na Nuh Mziwanda limefika mwisho baada Shishi kumtambulisha mpenzi wake mpya msanii,Eddy Kenzo kutoka nchini Uganda. ‘’ Nuh hanipendi Eddy Kenzo ndio ananipenda,ameniimbia wimbo nilikuwa sijui,naomba mjue kuwa ndiye mchumba wangu mpya,’ ’Alisema Shilole. ‘’ Eddy Kenzo amenipenda tangu zamani lakini nilikuwa nikimpuuzia tu maskini ameonyesha upendo wake kwangu hadi kaimba wimbo kwa ajili yangu unajua sio kitu kidogo msanii mkubwa Afrika kuniimbia wimbo mimi amechukua tuzo ya BET mwaka huu,ananipenda na mimi nampenda sana ,’’Alisema Shilole.

Wadau waguswa uteuzi wa makatibu wakuu

By Julius Mathias, Mwananchi Dar es Salaam. Uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu wao uliotangazwa juzi na Rais John Magufuli, umepokewa kwa hisia tofauti na wadau wa uongozi na utawala nchini. Dk Magufuli alitangaza orodha ya watendaji hao waandamizi wa wizara wapatao 50, juzi jioni ambao atawaapisha leo Ikulu. Wachambuzi waliozungumzia uteuzi huo, baadhi wamepongeza mjumuisho wa watendaji hao huku wengine wakiponda wingi wao. Wapo pia walioangazia uwajibikaji wa wateule hao wa mamlaka ya juu nchini. Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk Omari Mbura alisema Rais ametumia muda mrefu kutafakari watu muhimu na wanaomfaa kumsaidia kuwatumikia Watanzania. “Kitaaluma na uzoefu haitii shaka yoyote. Hata majukumu yao yamepangwa kutokana na hilo. Watasaidia kuongeza uwajibikaji wizarani,” alisema Dk Mbura na kupongeza jinsi Rais alivyowapandisha vyeo baadhi ya manaibu akisema hilo linasaidia kuongeza morali. Katika orodha hiyo, Rais amewateua wasomi wa ngazi za u...