New artist KB yaani (Kulwa Bilal) ni msanii chipukizi anayefanya vizuri sana kwenye hiii industry ya Muziki Tanzania na amejikita haswaaa kwenye mziki wa bongo flavour hivi karibuni ametoa ngoma kali sana inayoitwa BINADAMU. Wadau wote KB anaomba sana support yenu kwa sababu bila ninyi hakuna muziki. Yupo chini ya Management ya Clarence_June22 Events
Sikiliza Wimbo wake hapa na upakue/Download



Comments
Post a Comment