Skip to main content

Wema Sepetu kaamua kumuandikia ujumbe huu Idris Sultan

Mrembo Wema Sepetu ambaye jina lake July 11 2016 liliingia kwenye headlines baada ya kutoa viatu vyenye brand ya jina lake, ameingia tena kwenye headlines baada ya kuamua kumuandikia ujumbe Idris Sultan ambaye ni mpenzi wake kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Wema Sepetu na Idris Sultan kulikuwa na tetesi kuwa hawapo katika maelewano mazuri lakini usiku wa July 11 Wema Sepetu aliamua kuandika ujumbe kupitia ukurasa wake instagram uliyolenga kudhihirisha furaha yake kuwa na Idris Sultan.
“Having you as a friend, a brother, a lover & ofcourse a shoulder to cry on everytime Im at my worst has been the best feeling ever… I wouldnt want to lose this feeling over anything… I realised Without u then I aint complete…. You have stood by me in good tyms and bad, & even when I messed up soooo bad you would look me in the eyes and tell me, “Baby, its okay, we gon fix this”… Idris you have been one of a kind and losing u is the last thing I want on this earth… I will love you, until forever, until death do us part we will be together… I will hold on to you till da last minute because together we will get there…. I love you with my life…. For I believe you are my True Love, My baby, and Inshallah The Man that my Kids will call Daddy… ❤️
s3

Comments

Popular posts from this blog

HUYU NDIE MWANAUME"[SHOGA] MWENYE MAKALIO MAKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI,KAAMUA KUPOST HIZI PICHA INSTAGRAM.

Kutana na mwanaume mwenye makalio makubwa kama mwanamke.Kwa jina anaitwa Micah,ni mwanaume ambaye hipsi na makalio yake zinazidi hata zile za wanawake huwezi kuamini hebu tazama hapa utakubali tu mwenyewe.

MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2015 YOTE HAYA HAPA

Angalia yote hapa NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2015 EXAMINATION RESULT ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA KILIMANJARO LINDI MARA MBEYA MOROGORO MTWARA MWANZA PWANI RUKWA RUVUMA SHINYANGA SINGIDA TABORA TANGA MANYARA GEITA KATAVI NJOMBE SIMIYU   

Fasihi simulizi na Chimbuko la Riwaya

                                                                    Fasihi simulizi na Andishi HISTORIA YA FASIHI SIMULIZI YA KIAFRIKA KWA MTAZAMO WA NADHARI ZA UTANDAWAZI, UTAIFA NA HULUTISHI . Utangulizi Fasihi simulizi kwa mujibu wa Mlokozi (1996), ni fasihi inayotungwa au kubuniwa kichwani na kuwasilishwa kwa hadhira kwa njia ya mdomo na vitendo bila kutumia maandishi. Hivyo fasihi simulizi inafungamana   na muktadha au mazingira fulani ya kijamii na kutawaliwa na muingiliano wa mambo kama vile Fanani, Hadhira, Fani inayotendwa, Tukio, Mahali pamoja na Wakati wa utendaji.             Balisidya (1983) anasema fasihi simulizi ni aina ya fasihi ambayo hutumia mdomo katika kuumbwa, kuwasilishwa na kusambazwa kwa wasikilizaji na watumiaji wake. Mt...