Skip to main content

Posts

Showing posts from July, 2016

Paul Pogba: Jose Mourinho hints Man Utd keen to sign Juve star

Jose Mourinho has given his strongest hint that Manchester United want to re-sign Paul Pogba from Juventus by saying "you have smoke, you have fire". The Red Devils are reported to have agreed  a world record £100m transfer for the 23-year-old Frenchman. Pogba left Old Trafford in 2012 as a 19-year-old, with the Italian side paying a tribunal fee of just £800,000. "I am not going to try to make you naive and believe that we are not trying for one player," said Mourinho. The Portuguese manager has made three signings so far this summer, bringing in defender Eric Bailly from Villarreal, midfielder Henrikh Mkhitaryan from Borussia Dortmund and striker Zlatan Ibrahimovic. When asked about the possible signing of Pogba, Mourinho replied: "We set four targets for us, we got three of them and we are going to get the fourth. "We established the profile of four players to improve the squad, to give us more options, especially adapted to my way of thin...

Taifa stars uso kwa uso na Super Eagles.

Charles Boniface Mkwasa Kocha Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa Julai 26, 2016 anatarajia kutangaza kikosi kwa ajili ya kambi ya awali ya wiki moja ikiwa ni maandalizi ya kucheza na Nigeria katika mchezo wa kukamilisha ratiba ya kuwania kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Mkwasa amesema lengo la kambi hiyo itakayoanza Agosti mosi, 2016 ni kuwaweka sawa kisaikolojia wachezaji kabla ya kuita kambi nyingine rasmi wiki ya mwisho ya Agosti kujindaa na mchezo dhidi ya Super Eagles ya Nigeria unaotarajiwa kuchezwa Lagos Septemba 2, mwaka huu. Taifa Stars ilipangwa kundi G kuwania kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ambazo zitafanyika Gabon, mwaka 2017. Timu nyingine katika kundi hilo ni Nigeria, Chad na Misri ambayo tayari imefuzu baada ya kukusanya pointi 10, Nigeria ina pointi mbili. Taifa Stars mpaka sasa ina pointi moja wakati Chad ikijiitoa katikati ya mashindano na kukatisha ndoto za Tanzania...

Donald Trump akubali uteuzi wake

Donald Trump ameahidi kukomesha matukio ya uhalifu na vurugu nchini Marekani endapo atafanikiwa kuwa rais mteule wa taifa hilo, ahadi hii ameitoa kwatika hotuba yake wakati alipokuwa anathibitisha ukubalifu wake wa kuteuliwa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Republican. Maneno ama ahadi hiyo imo katika moja ya kifungu cha hotuba yake hii ni baada ya kuvuja kwa hotuba hiyo na kudakuliwa na wataalamu wa udakuzi na kueleza kuwa hotuba hiyo imesheheni ahadi tele za ya kurejesha utawala wa sheria , ikiwemo suala la kukabiliana na uhamiaji haramu na kwamba suala hilo ataliingiza katika sera za kigeni za Marekani. Image copyright GETTY Pamoja na hayo Trump anatarajiwa kutoa tamko kuwa mara moja atahakikisha anasimamia suala la wahamiaji haramu kutokana na mataifa kuathiriwa na wimbi la masuala ya ugaidi na kusisitiza ahadi yake ya kujenga ukuta kwenye mpaka baina ya Marekani n a nchi ya Mexico ili kuondokana na suala la wahamiaji. Naye mpinzani wa Donald Trump bibi...

Soma Magazeti ya Tanzania leo July 22, 2016 Kwenye, Udaku, Hardnews na michezo

Mapigano yazuka Kidal, Mali

Wapiganaji kutoka moja ya makundi yanayopigana kwenye mji wa Kidal,Mali Kundi la wanamgambo la Tuareg linaloungwa mkono na Serikali linasemekana kuchukua udhibiti wa mji wa kaskazini wa Kidal nchini Mali. Kundi la wanamgambo la Tuareg linaloungwa mkono na Serikali linasemekana kuchukua udhibiti wa mji wa kaskazini wa Kidal nchini Mali, baada ya mapigano kuzuka na kundi lilioundwa na watu waliokuwa waasi wa Tuareg. Mtu alieshuhudia aliambia VOA idhaa ya Kifaransa kuwa wapiganaji wa Gatia walikuwa wakifanya msako kwenye mji huo Alhamisi jioni ili kuwasaka waasi waliojificha.Hata hivyo hali mjini humo ingali haieleweki na haijabainika kama kuna majeruhi wowote. Kiongozi wa muungano wa Tuareg Ambeyri Ag Rissa,ameambia maafisa wa VOA kuwa alikuwa akitoka kwenye mkutano kuhusu uuwiano uliotiwa saini Jumapili kuhusu ugavi wa udhibiti kwenye mji huo baada ya mapigano kuzuka. Milio ya risasi ilisikika nyuma yake wakati akizungumza. Hali mjini humo imebaki kuwa tete hata baada...

Sidhani kama kuna mtu hata mmoja atasalimika kwenda jela’- Waziri Mwakyembe

Dk. Harrison Mwakyembe July 21 2016 Waziri wa katiba na sheria, Dk. Harrison Mwakyembe alikuwa akihojiwa katika kipindi cha Clouds 360 cha clouds TV na kujibu maswali mbalimbali yanayohusu katiba na sheria na hili sakata la Richmond likagusiwa. Mtangazaji wa clouds TV, Hudson Kamoga alimuuliza Waziri mwakyembe kuhusiana na sakata la Richmond wakati akiwa mwenyekiti wa kamati iliyokuwa inachunguza sakata hilo ambapo walikuja na ripoti ambayo ilipelekea aliyekuwa Waziri mkuu kwa wakati huo, Edward Lowassa kujiuzulu. Hudson ametaka kujua kama kuna mambo ambayo watanzania hawakuyajua kuhusu sakata la Richmond Waziri Mwakyembe amesema ….>>>‘kesi ya Richmond tuliifanya kwa roho safi na kwa kupiga magoti kwa Mungu na tuliifanya haki kwa kila mtu tulichoamua hata tuamue kesho asubuhi nirudie tena hata koma haitabadilika itakuwa vilevile na mimi nitafurahi sana’  >>>’chini ya kanuni tunaruhusiwa kuifufua tena Richmond ili ichunguzwe upya na ninaaapa...

Taarifa kutoka Ikulu: Uamuzi wa China kuhusu ujenzi wa Reli ya kati kwa kiwango cha kisasa Tanzania

Kushoto ni Dkt. John Pombe Magufuli na Kulia ni  Bw. Liu Liang Benki ya Exim ya China imekubali kutoa mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani Bilioni 7.6  sawa na zaidi ya Shilingi Trilioni 16 za kitanzania kwa ajili ya kugharamia ujenzi wa mradi mkubwa wa reli ya kati hapa nchini kwa kiwango cha kisasa (Standard Gauge) unaotarajiwa kuanza katika mwaka huu wa fedha. Rais wa Benki ya Exim ya China Bw. Liu Liang amemueleza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli jana tarehe 20 Julai, 2016 katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma, kuwa pamoja na kutoa fedha hizo zitakazofanikisha ujenzi wa kilometa 2,190 za reli ya kati benki hiyo itashirikiana na Tanzania  katika kubadilishana uzoefu na utaalamu katika ujenzi na uendeshaji wa reli. Pamoja na kukubali kutoa fedha hizo, Rais huyo wa Benki ya Exim ya China amempongeza Rais Magufuli na serikali yake kwa dhamira ya dhati ya kuiletea nchi maendeleo ikiwemo kuharakisha ujenzi wa ...

Waziri Mkuu Aweka Jiwe La Msingi La Upanuzi Na Ukarabati Uwanja Wa Ndege Dodoma

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameutaka uongozi wa mkoa wa Dodoma pamoja na Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu (CDA) kutenga eneo la bandari kavu ili mkoa huo uweze kupokea na kuhifadhi mizigo na kurahisisha biashara kwa mikoa jirani. Ametoa agizo hilo jana jioni (Jumatano, Julai 20, 2016) wakati akizungumza na mamia ya wakazi wa mkoa wa Dodoma mara baada ya kuweka jiwe la msingi kuashiria uzinduzi wa awamu ya kwanza ya ukarabati na upanuzi wa uwanja wa  ndege wa Dodoma. “Ninazo taarifa kuwa Benki ya Dunia kupitia shirika la Local Investment Climate (LIC) tayari wametenga fedha kiasi cha shilingi milioni 100 kwa ajili ya kujenga bandari kavu na tayari fedha hizo zimeshapokelewa na Mkoa wa Dodoma kwa ajili ya kazi hiyo.” “Uzuri wa mkoa wa Dodoma kuna reli. Kwa hiyo makontena yanayoenda Burundi na mahali  kwingine yatashushwa hapa na kukaa kwenye bandari kavu; hivyo, wafanyabiashara watachukua mizigo yao hapa badala ya kupata shida ya kuyafuata Dar es Salaam kama ...

Genocide in homeland exposes rift in Iraqi-American Christian community

Father Noel Gorgis left his post after he was ordered to move to Baghdad. The persecution of Christians in Iraq and Syria has exposed a rift among the half-million Chaldeans in the U.S., igniting furious debate as to whether the religious minority -- subjects of ongoing genocide at the hands of ISIS -- should remain in their ancestral home or seek asylum abroad. According to leaders within the Chaldean community, which is an Iraq branch of the Catholic Church, there are two opposing factions within the religious community. One is led by Baghdad-based Patriarch Sako, who closely aligns under the governance of Pope Francis and holds particular influence among the 250,000 Chaldeans located in the Detroit area. Sako urges Chaldeans to hold fast to their bloody homeland. Then there is the other side helmed by Bishop Sarhad Jammo, who until last week presided over Southern California's 150,000-plus Chaldean community. Jammo advocated for Chaldeans to flee the war zone for...

Ted Cruz jeered, wife escorted out at raucous Republican convention

U.S. Senator Ted Cruz refused to endorse Republican presidential nominee Donald Trump at the party's convention on Wednesday, sparking an eruption of angry jeers from Trump supporters and shattering the facade of party unity that has been carefully built up in Cleveland this week. Anti-Trump Republican delegate Ken Cuccinelli told Reuters he escorted Cruz's wife, Heidi, off the floor of the Republican National Convention out of concern for her safety. Cruz, who came in a distant second behind Trump in the race for the nomination, stopped short of endorsing Trump after a bitter and personal campaign and mentioned him only once, drawing boos and repeated chants of "We want Trump." Cuccinelli said: "During the course of the speech, more and more people were coming down closer and closer to Heidi and (Ted Cruz's father) Rafael. ... When the speech ended, there was an ugly crowd behind us. ... She was trying to leave." A witness said one ...