Skip to main content

Posts

Showing posts from January, 2015

Saudi blogger Raif Badawi flogging postponed second time Jump media player Media player help Out of media player. Press enter to return or tab to continue.

Authorities in Saudi Arabia have again postponed a second round of 50 lashes on the blogger Raif Badawi. No reason has been given, but last week Mr Badawi was reported to be physically unfit to face the penalty after receiving the first flogging. He was sentenced to 1,000 lashes and 10 years in prison for insulting Islam. Raif Badawi's punishment has caused international outcry. Last week the case was referred to the Supreme Court by the then-King Abdullah's office. A decree by the new Saudi King Salman has pardoned what are described as "public right" prisoners, which could eventually include Mr Badawi. A Saudi rights activist and lawyer, Suad al-Shammary, who worked with Mr Badawi on his blog, was released on Friday. She had been held for three months without charge over comments she made on Twitter, which her opponents portrayed as anti-Islamic. Health fears Raif Badawi, 30, was due to receive the lashes over a period of 20 weeks. The first round was carried out ou...

MUGABE ACHAGULIWA KUWA MWENYEKITI MPYA WA AU

Rais Mugabe  Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa umoja wa Afrika Au kwenye mkutano unaoendelea mjini Addis Ababa Ethiopia Wajumbe walimteuwa Rais Mugabe mwenye umri wa miaka tisini kwa kauli moja katika mkutano huo na kumtakia mema kwenye harakati mbalimbali za kuimarisha uchumi wa bara la Afrika. Mugabe amechukua nafasi hiyo ya Uenyekiti kuziba nafasi inayoachwa na Rais wa Afrika Kusini Nkosazana Dlamini-Zuma. Wadadisi wa masuala ya kisiasa wametilia shaka uteuzi huo wa Rais Mugabe kuongoza  Zaidi ya nchi arobaini ambazi ni wanachama wa umoja huo wakieleza kuwa Mwenyekiti huyo mpya hana mahusiano mazuri mataifa ya Magharibi Shaka hiyo dhidi ya Mugabe pia imejadiliwa na wanasiasa kuwa pengine ikiwa chachu ya maendeleo kwa Afrika kwa kujitawala yenyewe bila kutegemea nchi wafadhili.

BINTI ALAZIMISHA KUFANYA MAPENZI NA WATOTO>>>>Soma zaidi hapa

UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firahuni! Binti aliyefahamika kwa jina moja la Afsa (14), anayesoma darasa la 7, ametiwa nguvuni na jeshi la polisi akidaiwa kuwafanyia ukatili na kuwadhalilisha watoto wawili wa kiume (majina kapuni) wa mama yake mkubwa kwa kuwakang’ata nyeti zao akiwalazimisha kufanya nao mapenzi. Binti anayefahamika kwa jina moja la Afsa (14) anayetuhumiwa kuwanyanyasa watoto wadogo. Tukio hilo la kushangaza ambalo lilijaza umati wa watu , lilitokea wiki iliyopita katika mtaa wa Nyerere, Kata ya Mafisa, mkoani hapa. Kamanda wa OFM, Mkoa wa Morogoro akiwa kazini, alipokea taarifa kutoka kwa wananchi wa mtaa huo wakimuomba afike fasta. Bila kuchelewa kamanda alitia timu na kukutana na akina mama wawili ambao walishusha ‘vesi’ za tukio hilo: Binti huyo akiwa chini ya ulinzi, wa pili kulia ni mmoja wa watoto walionyanyaswa na binti huyo. “Sisi ni wakazi wa mtaa huu wa Nyerere ambao tunaishi na Mama Mese mwenye watoto wawili wa kiume, anaishi pia na mtoto wa mdogo wake (Af...

WANASWA WAKIFANYA MAPENZI KITUO CHA POLISI

AMA  kweli binadamu siyo waoga! Watu wawili ambao majina yao hayakupatikana mara moja, waliamua kujitoa fahamu na kuamua kufanya mapenzi ndani ya gari nje ya Kituo cha Polisi cha Alimaua kilichopo Kata ya Kijitonyama jijini Dar, OFM wanakumegea mkanda mzima. Watu hao wakiendelea kufanya mambo yao. Tukio hilo la aina yake lilinaswa saa nane usiku wa Jumatano wakati kikosi kazi cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) kikiwa kazini kusaka matukio mbalimbali ya usiku mnene. Ilikuwaje? Awali, baadhi ya watu waliokuwa wakitoka kuangalia mechi ya Kombe la Capital One kati ya Chelsea na Liverpool nchini Uingereza waliwaona wawili hao wakipaki gari eneo hilo la polisi kana kwamba walikuwa na shida muhimu ya kiusalama kama si kisheria. Kituo hicho kilikuwa kimefungwa! Tofauti na matarajio ya mashuhuda hao, gari hilo aina ya Toyota Mark II (namba za usajili tunazo) lilizimwa taa za ndani na kuachwa ikiunguruma kisha watu hao ambao haikufahamika kama ni wapenzi au ni ...

Japan Special Envoy Hopeful About Release of Hostage, Pilot

A Japanese envoy in Jordan expressed hope that both a Japanese hostage and a Jordanian pilot held by Islamic militants will return home "with a smile on their faces," as criticisms mounted Tuesday over the government's handling of the crisis. Deputy Foreign Minister Yasuhide Nakayama was determined, saying he believed there were "firm ties" between Japan and Jordan. Prime Minister Shinzo Abe assigned Nakayama, a lawmaker, to coordinate efforts in Amman to save two Japanese hostages of the Islamic State group. "I hope we can all firmly work hard and join hands to cooperate, and for the two countries (Japan and Jordan) to cooperate, in order for us to see the day when the Jordanian pilot and our Japanese national Mr. Goto, can both safely return to their own countries with a smile on their faces," he told reporters late Monday night after another day of crisis talks in the Jordanian capital. It was the first time a Japanese official mentioned Jordanian ...

Miss Colombia Paulina Vega crowned Miss Universe in Miami, full list of winners

See the full list of winners plus special awards here TOP 5. Ladies from Colombia, Jamaica, Ukraine, the Netherlands, and the USA. Photo by Timothy A. Clary/AFP MANILA, Philippines – The 63rd Miss Universe pageant aired Sunday, January 25 (January 26 in Manila). Miss Universe 2013 Gabriela Isler crowned her successor, Paulina Vega of Colombia.     Photo by Alexander Tamargo / Getty Images North America / AFP Paulina, 22, is from Barranquilla and stands at 5'9, according to the Miss Universe website.                 This is the full list of winners. Miss Universe: Colombia 1st runner-up: USA 2nd runner-up: Ukraine 3rd runner-up: Netherlands 4th runner-up: Jamaica National Costume: Indonesia Miss Congeniality: Nigeria Miss Photogenic: Puerto Rico

South Korea blocks North bid for right of arrest in joint zone

South Korea blocks a North Korean bid for the right to detain South Korean businessmen working in the Kaesong joint industrial zone in the event of a dispute North Korean employees work at a factory of a South Korean-owned company at the Joint Industrial Park in Kaesong on December 19, 2013, just a few hundred metres (yards) north of the demilitarized zone which separates the two Koreas. Kim Hong-Ji/Pool/AFP SEOUL, South Korea – South Korea said Tuesday, January 27, it had blocked a North Korean bid for the right to detain South Korean businessmen working in the Kaesong joint industrial zone in the event of a dispute. The Kaesong complex, which lies about 10 km (six miles) inside North Korea, hosts some 100 Seoul-owned factories where 53,000 North Korean workers produce goods from clothes to watches. Hundreds of South Korean managers also work in the complex, established in 2004 as a symbol of inter-Korea cooperation. Last September, Pyongyang drafted a new operational regulation that ...

Fidel Castro writes statement on shift in Cuba-US relations

Photo By Ramon Espinosa/AP FILE - In this Dec. 26, 2014 file photo, a photograph of Fidel Castro hangs under the Spanish word "Welcome" on the wall at a state-run food market in Havana, Cuba. On Monday, Jan. 26, 2015, after more than a month of silence, Castro made his first public comments about the news that the U.S. and his island nation will restore diplomatic relations after more than 50 years of hostility. HAVANA, Cuba (AP) — Former Cuban leader Fidel Castro ended his long silence over his country's decision to restore diplomatic ties with the United States, writing that he backs the negotiations even though he distrusts politics in Washington. The comments were the first by the 88-year-old revolutionary leader on the talks with the U.S. since the historic Dec. 17 declaration that the countries would move to restore ties broken more than a half century ago. "I don't trust the policy of the United States, nor have I exchanged a word with them, but thi...

Obama's "Tough Talk" on Iran is a Joke

  As I sit down to write this I'm thinking about the recent SOTU address given by Barack Obama and his comments regarding the negotiations with the Islamic Republic of Iran, and the president’s threats to Republicans to veto any new sanctions against the Iranians. Barack Obama has previously used ‘tough talk’ against the Iranians, admonishing Iran not to misjudge America’s commitment to preventing a nuclear Iran. Unfortunately, considering the complete lack of respect that the Iranian leadership has for Mr. Obama and for America in general, the 'tough talk' clearly has fallen on deaf ears. So that people understand what we’re dealing with, the Islamic Republic of Iran has been at war with the United States for thirty years, and for the most part with little if any consequences for their aggressive posture. Countless Americans both military and civilians have died at the hands of Iranians and their proxies over these decades. Countless more will die in the future. Iran is co...

White House gets drone defense wake-up call

Secret Service officers search the south grounds of the White House in Washington, Monday, Jan. 26, 2015. (AP Photo/Susan Walsh) The quadcopter drone that crashed onto the White House grounds overnight has highlighted the growing security threat posed by small Unmanned Aerial Vehicles (UAVs), experts warn. The White House incident comes less than two weeks after a drone flew over the French presidential palace in Paris. “I do think it’s a wake-up call for the government to start thinking about how it will protect against this type of thing -- it’s important for the government and the military in general,” Missy Cummings, associate professor in the Department of Mechanical Engineering and Materials Science at Duke University, told FoxNews.com. “This [White House drone] was harmless, but in the future it might not be.” The Secret Service said Monday that the drone was a 2-foot-long commercially available "quadcopter." Brian Leary, a Secret Service spokesman, said an officer pos...

Azam yaivuta sharubu Simba

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Azam ilivuta sharubu za Simba baada ya kuilazimisha sare ya bao 1-1 kwenye mchezo wa ligi uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam juzi. Timu hizo ziliingia uwanjani zikiwa na kumbukumbu ya ushindi kwenye mechi zilizopita, Simba iliichapa Ndanda mabao 2-0, huku Azam ikiichabanga Kagera Sugar mabao 3-1. Licha ya Simba kupata bao la mapema dakika ya 18 lililofungwa na Emmanuel Okwi, aliyetumia makosa ya kipa wa Azam, Mwadini Ally, Azam ndio walioanza kwa kasi ambapo dakika ya 12 kiungo, Frank Domayo, nusura aipatie bao timu hiyo baada ya kupiga shuti lililomlenga kipa wa Simba, Peter Manyika, aliyelidaka vema. Bao alilofungwa Mwadini lilitokana na uzembe wake alioufanya wa kukaa vibaya langoni, hali iliyomfanya Okwi kumchungulia na kupiga krosi ya juu kuelekea langoni akiwa pembeni mwa uwanja na mpira kugonga mwamba wa juu na kujaa wavuni. Dakika ya 28 winga wa Azam, Kipre Tchetche, nusura aipatie bao la kusawazisha timu yake akiw...

Paul Pogba awekwa sokoni rasmi.

Kocha wa klabu ya Juventus Masimiliano Allegri amechochea tetesi za kuondoka kwa nyota wake Paul Pogba baada ya kuwataka mashabiki wa klabu hiyo kumtazama Pogba kwa kipindi hiki wakati akiwa Juventus kwani huenda wasipate nafasi hiyo tena . Pogba mwishoni mwa wiki iliyopita alifunga bao moja huku akisaidia kutengeneza bao jingine katika mechi ya Juventus dhidi ya Chievo Veron amechi ambayo Juve walishinda 2-0 ukiwa muendelezo wa kiwango bora ambacho ameendelea kukionyesha tangu alipojiunga na klabu hiyo akitokea Manchester United . Tetesi mbalimbali zimemhusisha Pogba na kujiunga na klabu kadhaa barani ulaya zikiwemo Paris St Germain , Real Madrid , Manchester City , Chelsea na Manchester United ambazo kwa nyakati tofauti zimehusishwa na nyota huyo . Pogba mwenyewe ameonekana kuziongeza kasi tetesi hizi baada ya kusema kuwa angependa kurudi Manchester United huku kwa wakati mwingine akisema kuwa ameanza kujifu nza lugha ya kihispania ambapo kauli hiyo imehusishwa na mpango wa kujiunga ...

Arsenal yasajili nyota wa Brazil.

Klabu ya Arsenal iko mbioni kukamilisha usajili wa nyota raia wa Brazil Gabriel Paulista toka kwenye klabu ya Villareal ya nchini Hispania . Usajili huu utakamilika siku chache zijazo baada ya mchezaji huyo kupata kibali ch akufanyia kazi nchini England kulingana na sheria za kazi kwa raia wanaotoka nje ya umoja wa ulaya . Beki huyo mwenye umri wa miaka 24 anatarajiwa kukamilisha vipimo vya afya hii leo (jumatatu) na atakamilisha usajili wake baada ya hapo . Gabriel Paulista atajiunga na Arsenal muda wowote kuanzia sasa. Awali kulikuwa na hofu kuwa Paulista angenyimwa kibali cha kufanyia kazi kwa kuwa hajacheza mechi zozote za kimataifa lakini hiyo haitakuwa shida kwani ameichezea klabu ya Villareal kwa muda mrefu na amekidhi vigezo vya kupata kibali cha kufanyia kazi nchini humo . Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amethibitisha hili ambapo amesema kuwa dili la kumsajili beki huyo litakamilika muda wowote kuanzia sasa . Paulista aligana na wachezaji wenzie wa Villareal dakika chache ka...

Mourinho amwaga sifa kwa Drogba.

Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amemsifu mshambuliaji wake Ddier Drogba kwa kusema kuwa bado kuna mengi ya kutegemewa toka kwa mchezaji huyo na hajaisha kama inavyodhaniwa na wengi . Mourinho alisema hayo kwenye hafla maalum ya utoaji wa tuzo ya heshima kwa Dorgba ambayo iliandaliwa na chama cha waandishi wa habari za michezo nchini England . Hafla hiyo iliyoandaliwa na waandishi ililenga kumtunukia tuzo ya heshima mshambuliaji huyo raia wa Ivory Coast kwa mchango wake kwenye mchezo wa soka na kwenye ligi ya England kwa jumla Drogba hapo jana alipewa tuzo ya heshima na chama cha waandishi wa habari za michezo England . Mourinho alimsifu Dorgba akimuita mchezaji mwenye thamani ya kipekee kwa timu hiyo baada ya mchango wake kuipa mafanikio mbalimbali tangu alipojiunga nayo mwaka 2004 wakati aliposajiliwa toka Olympique Marseile . Tuzo kama hii imewahi kutolewa kwa kocha Jose Mourinho na Sir Alex Fergusson pamoja na wachezaji kama David Beckham baada ya mafanikio ya muda mrefu . Akiwa C...

BELA: SITAKI TENA NDOA

Na Shani Ramadhani/Uwazi   HATIMAYE Miss Ruvuma 2008 ambaye pia ni msanii wa muziki wa Bongo Fleva na filamu Bongo, Isabela Mpanda ‘Bela’, ameweka wazi kuwa hataki tena ndoa. Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na filamu Bongo, Isabela Mpanda ‘Bela’. Akizungumza na Uwazi, mwandishi wetu Bela alisema amefikia hatua hiyo baada ya kukaa kwa muda mrefu akisubiri ndoa bila mafanikio na maendeleo yoyote na kuishia kudharaulika katika jamii. “Sitaki tena ndoa kwa sasa hivi ila ninachohitaji ni kupumzika, hata akitokea mtu siko tayari kwa sasa. Nilishasubiri sana ndoa mpaka hamu imeniisha,” alisema Bela.

AUNTY : MIMBA HAIJANIBADILI TABIA

Na Laurent Samatta/Uwazi    HUKU kukiwa na tabia kuwa baadhi ya wanawake wanapokuwa wajawazito wanakuwa na tabia za kusumbua na kubagua baadhi ya vitu, msanii wa filamu za Kibongo Aunty Ezekiel ‘Mama Kijacho’, amesema kwa upande wake yuko vile vile na wala hajabadilika. Msanii wa filamu za Kibongo Aunty Ezekiel ‘Mama Kijacho’. Akimwaga ‘ubuyu’ na Uwazi, Aunty alisema kuwa haoni kama amebadilika kitabia au kuwa msumbufu bali anajiona yupo kawaida ingawa mara nyingine anakuwa anachoka sana. “Mimba wala haijanibadili maisha kwa maana sipo kama wanawake wengine wanavyokuwa wasumbufu, naamini kuwa nitaendelea kuwa hivi hadi mwisho nitakapojifungua,” alisema Aunty.

MAZITO YAIBUKA

Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa, Pwani/Uwazi   MAZITO yameibuka kufuatia tukio la majambazi kuvamia Kituo cha Polisi Ikwiriri, Rufiji, Pwani na kuwaua askari wawili kisha kuchukua bunduki 7, risasi 60 na mabomu kadhaa, Uwazi limeichimba.Tukio hilo lililozua hofu ndani ya Jeshi la Polisi Tanzania, lilijiri Januari 21, mwaka huu na hadi wakati tunaenda mitamboni, hakuna mtuhumiwa anayeshikiliwa. Ndugu wa karibu wa marehemu, Judith Timothy (32) wakilia kwa uchungu. Askari waliouawa katika kituo hicho ni Edger Jerald Mlinga (43) na Judith Timothy (32). Afande wa tatu alifanikiwa kukimbia na hivyo kuokoa maisha yake. UWAZI LAANZA KUCHIMBA Muda mfupi baada ya kutokea kwa tukio hilo, timu ya waandishi wa gazeti hili ilitua katika eneo la tukio na kushuhudia damu ya askari hao waliouawa kwa kukatwa mapanga, Judith licha ya kukatwa alipigwa risasi tumboni. MAJIRANI WAONGEA NA UWAZI Baadhi ya wananchi wanaoishi jirani na kituo hicho walizungumza na Uwazi na kusema kile ...

DADA AMUUA KAKA YAKE KWA KISU KISA>>> soma zaidi

Stori: Chande Abdallah na Haruni Sanchawa/Uwazi DUNIA imekwisha! Binti mmoja mwenye umri wa miaka 19, Rukia Ally anadaiwa kumuua kwa kumchoma kisu kaka yake wa kuzaliwa, Said Ally wote wakati whga Tegeta Mivumoni, Kata ya Wazo jijini Dar es Salaam, kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kutokana na kijana huyo kutaka kudhibiti tabia zisizofaa za dada yake huyo, tukio lililotokea usiku wa Januari 24 mwaka huu. Rukia Ally anayedaiwa kumuua kwa kumchoma kisu kaka yake, Said Ally. Kwa mujibu wa habari kutoka eneo la tukio, inadaiwa kuwa binti huyo alikuwa na kawaida ya kuondoka nyumbani kwao na kwenda kusikojulikana ambako wakati mwingine alikuwa akikaa zaidi ya siku tatu pasipo kurejea nyumbani, huku akiwa hana maelezo ya kutosha. Inadaiwa kuwa siku hiyo, msichana huyo hakuwa amerudi nyumbani kwa siku tatu, hivyo aliporejea saa tatu usiku, kaka yake alimuuliza alikokuwa, lakini badala ya kumjibu, alimuomba aingie kwanza ndani kwake na kuwa atarejea ili kumpatia majibu. Mama wa marehemu Fatuma ...

Soma hapa kurasa za mwanzo na mwisho za Magazeti ya leo January 27, 2015

. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .